KABLA YA KULALA USIFANYE YAFUATAYO........................

muzi

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,038
1,448
VITU SITA (6) USIVYOTAKIWA KUFANYA KABLA YAKULALA.

1. USILALE UKIWA UMEVAA SAA.
Saa ya mkononi inamadhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa
(ya mkononi)

2. USILALE UMEVAA SIDIRIA Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidiria zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.
3 - USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU.
wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwa sababu ya mionzi yasimu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.
4 - USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE UP USONI.
Hii husababisha ngozi kutopumua vizuri na kutopata usingizi kwa haraka.
5- USILALE NA CHUPI!
Hili kuwa huru na kulala ni vyema ukalala bila kubanwa na kitu chochote, chupi haitakiwi!!

KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI;
6. Usilale na MKE au MUME wa mtu!
Wanasayansi wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika linaweza chukua uhai wa mtu. Ni vizuri ukawa makini sana hapa...!

USIFANYE EXPERIMENT YA KIFO!
 
..
6. Usilale na MKE au MUME wa mtu!
Wanasayansi wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika linaweza chukua uhai wa mtu. Ni vizuri ukawa makini sana hapa...!

USIFANYE EXPERIMENT YA KIFO!
Hapa hili katazo unamaanisha kulala naye hadi asubuhi au hata kulala naye bila kusinzia?
 
Hapa hili katazo unamaanisha kulala naye hadi asubuhi au hata kulala naye bila kusinzia?
Yote ni marufuku, kama ulishasikia mke wa mtu sumu jaribu yatakayokupata .........................................
 
Back
Top Bottom