Kabla ya Interview.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
[BOSS]:kampuni yetu inapendelea zaidi watu wasafi,je kabla hujaingia ofisini kwangu ulikumbuka kufuta viatu vyako kwenye tambara hapo nje?.[JAMAA]:>Bila shaka mkuu,nilikumbuka kufanya hivyo. [BOSS]:>Kampuni yetu pia inapendelea watu waaminifu na wakweli,wewe ni mwongo,mlangoni kwangu hakuna tambara la kufutia viatu,toka nje mwingine aje!
 
daaah bosi amekamata panapo... yani hapo ndipo pa kuwakamatia wezi wanaotaka ajira safi sana bosiiii
 
Back
Top Bottom