Mnajichanganya sana wadau,Kuna Universe na Earth(World),kabla ya dunia kuumbwa,yaani kabla ya big bang kutokea,Kulikuwa giza na maji tu kwenye all universe,baada ya big bang kutokea hapo ndio dunia ikazaliwa na sayari nyingine,nyota na makolokolo yote yakatokea,kwa jinsi Mungu alivyoipenda dunia(earth sayari) ndipo alipofanya makazi ya binaadam kwa kutenga maji ysliofunika dunia kwa kuleta Nchi kavu na pia kuleta mwanga.
✅Naomba majibu ya nyie atheists Kama binadamu ametokana na evolution na natural selection,iweje atokeee mwanamke na mwanamme? Kwanini asingetokea mwanamke tu peke yake au mwanamme peke yake? nini kilichofanya Hiyo evolution itenganishe jinsia?