Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,174
- 143,960
jaribu kujibu na haya pia "✅Naomba majibu ya nyie atheists Kama binadamu
ametokana na evolution na natural selection,iweje
atokeee mwanamke na mwanamme? Kwanini
asingetokea mwanamke tu peke yake au
mwanamme peke yake? nini kilichofanya Hiyo
evolution itenganishe jinsia?"
Kwanza, mimi siyo mkana mungu [atheist].
Pili, hata theory ya evolution kwangu haiingii akilini
Inajaribu na inajitahidi kuelezea jambo gumu lakini bado haijanishawishi.
Kwa hiyo labda tafuta mtu mwingine wa kukujibu hayo maswali yako.
Mimi siyo kabisa.