Kabla ya Dunia kutengenezwa kulikuwepo na nini??

Kabla ya Dunia kutengenezwa kulikuwepo na nini??

Basi huwezi kuja na conclusion kwamba hakuna Mungu ilihali hujawahi kufanya utafiti wa uwepo wake. Hii inaonyesha wanaosema hakuna Mungu hawajawahi kujishughulisha kabisa na uwepo wake.

Hivyo naweza kuamini imani yao kwamba hakuna Mungu kwa maana hawajawahi kujihusisha nae kwa lolote..!

kila kilichopo kinaonekana, kiapimika, kinahisika,kinashikika n. k, lakini niambie huyo mungu we unafahamu vipi kwamba yup,
Hatuuoni upepo na umeme ila tunawez kuupima, je huyo Mungu kipimo chake ni kipi usiniambie kwamba ni katia vitabu vile dhaifu vya Koran and Bible
.... free ideas...
 
Mtapasuka vichwa tu. Nyie kaeni mnywe gongo kama mie hapa.
 
Umeanza na.... There is no God....... Alafu paragraph ya pili katikati huko ukasema..... GOD is the............ Kwel nimeamin Mungu yupo na anafanya kazi hata kwa wasioamini kama yupo. Asante Mungu mtenda miujiza... Had uliyemtendea hajashtuka.

Read between lines please
... free ideas...
 
y do we need religious books to know god our creator?, Kwa nini mpaka nikae kanisani msikitini ndipo nijifunze/nifunzwe kuhusu mungu wangu tena muumba?.
kama aliweza kutufanya tuvute pumzi automatically, ilikuwaje alishindwa kutufanya tumjue bila kufundishwa kuhusu yeye?.
..... free ideas....

Alijua kutakua na makundi huku duniani na Alijua pia wapo watakaompinga kama wewe.

Alikupa pumzi na uhai, swala la kumjua Alijua kabisa kama atakupa akili ipo siku utajiuliza mimi ni nani na nimefikaje duniani? Kwa maswali hayo Alijua kabisa utatambua uwepo wake.

Muda bado upo.. Endelea kumfahamu Mungu ipo siku utakua upande wake.
 
If God comes from nothing it means that all other things emerge from him,,he is Everlasting with no beginning or an End..The world is like house which can either created or destroyed.MUNGU ni nafsi inayoishi..Hana mwanzo wala mwisho..Kitu kuwa na mwanzo au muda ni "state of mind" ya binadamu..SCIENCE is the only wishful thinking because is man innovations.

Kinyume chake ni sahihi
... free ideas...
 
Nimefuatilia leo ibada na Baba Askofu akasema binadamu tuna dhambi za asili na tuna kuvu la dhambi ya asili iliyoanzia kwa ADAM na Eva akasema wakati wakuumba dunia aliamru kitu fulani kikawa lakini alipofika kwa mwanadamu alitofaitisha amri na akasema natengeneza mwanadamu kwa mfano wangu mimi! Maana nikwamba sisi ni sehemu ya Mungu..Lakini najiuliza kabla ya uumbaji kulikuwa na nanini je Mungu kabla ya kuumba dunia na vilivyomo kulikuwaje??

hekaya za Abunuas
 
There is no god my friend, live and enjoy your life to the maximum. Those are man made stories which has not been verified. You are yourself god, once you fail to do something or to understand it, it doesn't mean that the imaginary god is the answer. Grow up my dear, we (human being) are the one who created god in our minds.
The universe is the way it is either we like or not, the presence of the intelligent designer depends on our minds,. God is the complex entity to be understood by human, as the universe which according to the modern scientists has got a simple beginning and explainable .

.. welcome to the world of free thinkers..
...... free ideas....

The bitter truth But we need to accept it. God is nothing but a myth
 
kila kilichopo kinaonekana, kiapimika, kinahisika,kinashikika n. k, lakini niambie huyo mungu we unafahamu vipi kwamba yup,
Hatuuoni upepo na umeme ila tunawez kuupima, je huyo Mungu kipimo chake ni kipi usiniambie kwamba ni katia vitabu vile dhaifu vya Koran and Bible
.... free ideas...

Kipimo cha Mungu ni uwepo wako. Unaweza kuniambia wewe umetokea wapi?
 
Mnajichanganya sana wadau,Kuna Universe na Earth(World),kabla ya dunia kuumbwa,yaani kabla ya big bang kutokea,Kulikuwa giza na maji tu kwenye all universe,baada ya big bang kutokea hapo ndio dunia ikazaliwa na sayari nyingine,nyota na makolokolo yote yakatokea,kwa jinsi Mungu alivyoipenda dunia(earth sayari) ndipo alipofanya makazi ya binaadam kwa kutenga maji ysliofunika dunia kwa kuleta Nchi kavu na pia kuleta mwanga.

✅Naomba majibu ya nyie atheists Kama binadamu ametokana na evolution na natural selection,iweje atokeee mwanamke na mwanamme? Kwanini asingetokea mwanamke tu peke yake au mwanamme peke yake? nini kilichofanya Hiyo evolution itenganishe jinsia?
 
Are you sure that God is hiding Himself from yow?

why don't he/it/she reveal him/it/he self so that we may know(not believe) that he/it/she exist
While He is everywhere?

Who told you that?how did you know that? , do you have direct contact with god(if exist)

And why do you have to realise and see Him while you are not ready to know Who He is?
I want to know(not to believe) that he/it/she real exist.
 
The bitter truth But we need to accept it. God is nothing but a myth

Thax, They will soo accept, its so sad for a gentle in this 21c to believe that someone spent six days creating the universe
..... free ideas....
 
Back
Top Bottom