Hapo zamani nilikuwa nikishangaa kumuona mtoto wa mchungaji ni mzinzi, tapeli, mwizi, muongo, mlevi, n.k.
Lakini baada ya kuona wachungaji wengi hasa wenye makanisa yao wakitajirika na kuishi maisha ya anasa kwa sadaka za waumini, skendo za kutembea na waumini, kufeki miujiza, n.k. sikuona cha ajabu kwa watoto, ni tabia za kurithi.