Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,019
- 15,234
Huyu mwamba alichokosea hakumchunguza mwanamke! Hakujipa muda wa kuchunguzs past yake, hakujipa muda wa kuchunguza marafiki zake, hakujipa muda wa kuchunguza familia ya binti anayotoka. Hakujipa muda wa kuchunguza kupitia sehemu ambayo mwanamke anayofanyia kazi angalau kuwauliza mwenendo wake upoje!Anavuta mda baadae hutaweza muacha, umri utaenda, nguvu itaisha na hutakua na la kufanya, narudia hakiki malengo yake, ukiyaelewa maliza mchezo, hizo samahani zisizofanyiwa kazi ni ishara tosha kabisa, nakupa kanuni nyingine, nayo ni hii : kwanza Mimi hunyooka na kunyoosha maelezo na kuwa mkweli, siwezi kupandishiana sauti na m mke najua hapa maisha yameisha simuwezi, ana hoja aweke mezani makelele siyataki, zingatia nyooka wewe kwanza vichaka vyote utaviona, Kisha akipanda wewe Rudi chini, hapo utaona mwanga na utajua ni timing, kama kama ana hoja kwa nini asiziweke mezani, usifikir atakiri kwamba hakutaki, Bali makosa anafanye yeye sababu anakutaftia wewe
Halafu angejipa muda wa kusikilizia huku anamchunguza. Katika hayo lazima kuna kitu angekigundua! Angeliliepuka tatizo mapema. Si kila mwanamke wa kuolewa!