MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,257
- 22,044
Unayopitia yananiumiza haswa maana Mimi nilitemwa ila kiuchumi nikarudi kuzimu japo sio single mother .
Natamani uigize maisha ya kuishi naye hivyo hivyo huku ukibadilisha umiliki wa vitu na pia ukificha hela ,ikifika hela ambayo unaona hata mkiachana mkagawana Mali bado utaishi vizuri bwaga manyanga Kaka .
Fanya kuanza kukusanya taratibu bora umuongopee kwenye baadhi ya vitu ila vipige bei kimya kimya ,bila hivyo nakuona ukija kuwa mgonjwa na mwenye mastress muda wote .
Pole Sana ,chukua hatua

Imepenya penyewe mkuu... Asante sana