Kabla hujalala tunaomba ushauri wako

Kabla hujalala tunaomba ushauri wako

Wao ni maadui nambari one wa Watanzania na ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo nchini. Imetosha sasa waachane na mbinu chafu za kutaka kuichakachua katiba mpya ili watimize dhamira yao ya kuitawala Tanzania milele.

View attachment 169267

kama mtanzania unamaoni gani kwa serikali yetu sikivu ya ccm.
 
View attachment 169267

kama mtanzania unamaoni gani kwa serikali yetu sikivu ya ccm.


... Suluhisho ni kubadilisha mfumo
mzima wa Serikali na kuweka kizazi
kitakachochukia rushwa, wizi,
uzembe na matumizi mabaya ya
madaraka yaliyokithiri Serikalini.
CCM imejaribu mara kadhaa
imeshindwa, hata mkakati wa
kujivua gamba umeshindikana
kabisa. Tunahitaji chama makini
kitakachotuvusha hapa tulipo.
 
Tatizo sio wao bali cc wapiga kura ndo tunasababisha. Na pamoja na matatizo yote hayo tunayoyaona na tunayoambiwa kuhusu ufisadi bado mwaka wa kesho kwenye uchaguzi utawaona watz wamevaa kijani huku wakishangilia kwa kuipongeza serikali ya mafisadi kuwa imewaletea maendeleo.
 
Fedha za walipa kodi wa Tanzania, wanazo jilimbikizia kwa manufaa yao na watoto wao, zielekezwe kwenye huduma za jamii. Hii itasaidia kuboresha maisha ya Mtanzania wa chini.


Serikali hii ni mzigo mzito kwa wananchi wake
 
Hata nikisema yani ni kilio cha samaki machozi kwenda na maji
 
Book 7 kwenye uzi kama huu wala uwaoni, kimyaaa.

Tiba
 
full laana kwa mafisadi
wameficha pesa nje watoto wakaa chini? what a shame!!
 
hao ni watoto wa wakulima kama mimi, naomba serikali iweke sheria kali ili hata watto wa vigogo wasome kwnye shule kama hizo
 
Mwakani tunapiga kura kama tunapiga mwizi! Hatuachagui mtu tunachagua chadema hata kama mgombea wa ccm ni malaika piga chini so long as ni ccm! TuKifanya kosa lingine la kurudisha ccm hawa watoto watatulaani milele!
Tatizo kubwa ni wale wazee waliopigika vijijini. Wakipewa kofia, t-shirt na bakuli la pombe kilabuni wanaona ccm ni Mungu wao! Amini usiamini hali iko hivyo na sijui tutafanyeje Ngonini.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna jina sipendi kuliona au kulisikia ni ccm. Hawa ni mafedhuli wakubwa wanaojali wao na watoto zao tu. kazi yao ni kurithishana utawala na kupora rasilimali za nchi wakati watanzania wakiteseka namna hiyo. There comes a day when we gona chase them out of this country.
 
Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama. Wakiambiwa wameshindwa flat kabisa wanalalamika.
 
Back
Top Bottom