PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Mkuu hata waende makanisani na misikitini kuomba ili wasamewe haitawezekana. Dhambi zitawafuata mpaka mwisho wa MAISHA YAO.
watubu mapema kabla Mungu hajawaadhibu
Wameshindwa kutumikia wananchi kwa kufanya kila huduma ya umma kuwa ni ya kulipia. WAONDOKE TUMEWACHOKA.
Kwa yeyote anae itetea ccm laana i juu yake!