Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,456
- 872,092
niko bk mkuu nililala guest jana kitandanda kilikuwa na cover ya plastic,asuhuhi nauliza muhudumu anasema eti ili godoro lisilowe,nakamuuliza lisilowe nini kwani wana lala watoto humo?akaanza kucheka sasa embu nifahamishe