Kabila/mikoa ipi hawatumii "shikamoo"?

Nov 21, 2013
23
6
Nimeenda ktk mkoa fulani na kukutana na kali ya mwaka baada ya kumsalimia mtu aliyenizidi umri "shikamoo" naye kanijibu shikamoo na mimi kuduwaa kwa kushindwa nijibu nini...! Je, kuna mikoa au jamii ambayo hawajui au kutotumia kabisa hii salamu?
 
NNji jirani. Usiulize tena.
 
Back
Top Bottom