Kuna jamaa amefungua gereji anashughulika na kuyapaka majungu rangi pamoja na kubadili fyuzi zake.😱Haya nayo ni majungu, ngoja tuone watu walete majungu yao
Mkubwaa Elimu Haina mwisho tafaadhal tujuze instigate ni kitu gani?Nimewahi kufanya kazi na Wapare binafsi sikuwahi kushudia unayo taka wapakazia hapa!
Wewe unacho tafuta ni ku instigate members wenye hisia kama za kwako waanze kuwashambulia/kuwasema vibaya Wapare bila sababu.
Na hii tabia ya kupakazia baadhi ya makabila imeanza kuota mizizi JF, wewe binafsi unapata faida gani kukandia makabila ya watu wengine.
Sungusi ndio nini. Ni Sing'isi wameru hawana shida na mtu ila usiwachokoze tu hata wakurya hawaoni ndani.Hapo sio kweli mm nafanya kazi na wapare tena mwaka 7sasa ila shida ya mpare ni mbahili saana na ni mtu wa kesi kesi suruhu kwake hamna,ila kuna kabila moja ukanda huo wanaitwa wameru tena wale sungisi yaani hata gari yako imepata ajali eneo hilo we sahau msaada