nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,901
- 14,611
Kuna ukweli asilimia kadhaa,wapare wengi ni mabingwa wa FITNA HUSDA na KUJUNGUSHA ila si wote,katika makampuni kadhaa mkikuta Wapare wameshamtangulieni au kuna boss mpare sometimes wana change frequency...utasikia namnani havaee chedichedi na midhuti yao wapare.