Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Ndugu zangu, sina uzoefu na hili lakini pia sina uhakika nalo.
Baada ya kupata ajira miaka kadhaa iliyopita, nilichukua likizo ya mwaka na kuamua kwenda kwa wazee wangu kupumzika. Nilipokuwa naongea na mzee wangu kuhusu maisha yangu kazini, aliniuliza iwapo ofisini kwetu kuna wapare. Nikamueleza kuwa, lah ofisini kwetu hakuna Mpare. Sikuishia hapo, bali nilihoji "Sababu za kuulizia uwepo wa Wapare".. Jibu alilonipa ni kuwa," Wapare ni watu wa majungu sana ". Sikuipa uzito sana dhana yake, kwani nilihisi labda alishawahi kufanyiwa majungu na Mpare mmoja nae akaamua kuwahukumu wote.
Miaka ikapita, na nikapata uhamisho kuhamia mkoa mwingine. Nikampigia simu rafiki yangu kumjulisha uhamisho wangu. Huyo rafiki yangu, amenizidi zaidi ya miaka 20! Nilipomjulisha kuwa, nimehamishwa, akasema "Omba Mungu unapohamia, ofisi yenu isiwe na Wapare".. Nikakuuliza" Wapare wana nini? ".. Jibu alilonipa ni kuwa, ofisi yenye Wapare huwa haina utulivu.
Kilichonifanya kuuleta uzi huu, ni kuwa, Siku za karibuni nilikuwa katika daladala. Jirani yangu kilikuwa na watu wawili wanaongea, na inavyoonesha mmoja (ambaye alikuwa anasimulia) anafanya kazi katika Kampuni ya Usafirishaji. Yaani anaendesha magari ya mizigo kwenda nchi jirani zetu. Katika maongezi yao, kijana huyo alikuwa akionesha kuwa, hana furaha kazini na anafikiria kuacha kazi. Mwenzake akawa anampa moyo na kumjaza matumaini. Yule aliyekuwa akisimulia akasema "ile kampuni yetu imejaa Wapare, haiwezi kukaa sawa"
Kwa wenye uzoefu wa kufanya kazi ofisi moja na Wapare, je Wapare ni watu wa kufitinisha? Au haya yametokea tu accidentally?