Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

khamsinda

Senior Member
Jul 26, 2016
107
71
Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF,

Mimi kijana wenu nimegundua kuwa kabila letu Wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini. Ningependa tufahamiane humu vizuri.
 
Back
Top Bottom