excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,864
Toka mwaka juzi bado member? Acha uvivu wa kupost.
ngoja nije pm ndo utajua mi ni member au ni expert member! tukapekuane huko huko! na ole wako uombe po!
Toka mwaka juzi bado member? Acha uvivu wa kupost.
Hapa umefika raha zote utapata ,, sipati picha hilo washawasha sijui linawasha au linakwaruza.
Kama una ufahamu mzuri wa JF nadhani unajua vyema sredi kama hii inatakiwa ianzishwe jukwaa gani...
Hapa ni MMU, hizi mambo zenu za kudinyana mara sijui tigo inawasha zina jukwaa lake huko huwa mnaliita sijui jukwaa la wakubwa...
Wewe kama mumeo au bwana wako hajui kukatika nenda gereji ya wachina afungwe motor labda itamsaidia.
Nina uhakika hata ukielezwa kuwa kabila fulani ndio wanaume wao wanajua kukatika haitasaidia kitu, hakuna mtu mwenye uwezo wa kubadili kabila lake.
itasaidia sana hii katika hilo! cc imaneyHili Washawasha linatoa raha kwa kila mtumiaji nakuhakikishia ya kuwa utafarijika mno.Hapa umefika raha zote utapata ,, sipati picha hilo washawasha sijui linawasha au linakwaruza.
Mbona umeshaanza kuogopa?kwani Washawasha ni nanii wako?![]()
Toka mwaka juzi bado member? Acha uvivu wa kupost.
Mbona umeshaanza kuogopa?
Nalog off
Sina uhakika ila wanawake wengi wanalalamika kuwa wanaume wa kichagga hawajuwi kale kamchezo ka 6 X 6.
hahahahahahahhaha...unawangapi??Wanaume wakichaga watamu kwenye huduma ya m-pesa
Hivi hizi sredi huwa zina umuhimu gani? labda mwenzenu miye ni mshamba naomba nijibiwe...
Basi sawa kama huogopi,halafu uliposema nyoka wa kijani unamaanisha ccm au? kama ni ccm ni kweli kabisa mimi naikubali sana ccm.nikuogope wewe!!! aahh wapi! we ni nyoka wa kijani!
kwani Washawasha ni nanii wako?![]()
Huyo aliyekwambia wanawake wa kichaga wabovu si kweli tunajua mambo .................Wanaume wa kichaga watamu sana na wanajua mambo mno wewe dont try this
mnh kuna jukwaa la uchumi hapo juu hujaliona???nendeni huko,mtuache sie wakata viuno tulale....
we mwanamke unanitaka?? hebu sema nije pm fasta!
ngoja nije pm ndo utajua mi ni member au ni expert member! tukapekuane huko huko! na ole wako uombe po!
usiogope babyto!......
goodmorning!
![]()
unajua maana ya ccm lakini?..its Called for Common Mission .... sasa hebu iambie jf, nini dhumuni la chama chenu mpaka sasa!Basi sawa kama huogopi,halafu uliposema nyoka wa kijani unamaanisha ccm au? kama ni ccm ni kweli kabisa mimi naikubali sana ccm.
Nalog off