Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
Mi naona kabila la Wazungu ndiyo wamebobea .
......basi baada ya wazungu ni wachaga !
Mi naona kabila la Wazungu ndiyo wamebobea .
Nyie wavisi3wani kumbe mnajijua kuwa mna makabila tena yenye asili ya Bara except waarabu ... ila visiwani hunywa sana pombe japo siku hizi wamepunguza wanatumia madawa ya kulevya....Kabila yangu pombe tumeipa. Jina baya, "uchi"
Na ukitambulika kuwa wewe ni mnywaji, kwenye vikao vya wazee huruhusiwi kutoa maoni !