Top Ten: Makabila ambayo watu wake upstairs pamechangamka

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,826
9,533
1. Wachagga
2. Wahaya
3. Wakinga
4. Wakurya
5. Wahehe
6. Wanyakyusa
7. Wasukuma
8. Wabena
9. Wakerewe
10. Wapare

Makabila haya yamechangamka kwenye elimu, kutafuta pesa na huwezi kuyaburuza kijingajinga. Watu wake majority wanajitambua. Asante.

Alert:
This is my opinion, it has nothing to do with tribalism. You can provide yours. Mod msifute huu uzi, kuna kitu tutajifunza kutokana na comments za wadau.
 
Kati ya hao wote hakuna kabila limewahi toa Rais seems ni watu wa kuongozwa tuu ,waoga
 
Bila sisi wazaramo listi ni batili
.
IMG-20230212-WA0004.jpg
 
1. Wachagga
2. Wahaya
3. Wakinga
4. Wakurya
5. Wahehe
6. Wanyakyusa
7. Wasukuma
8. Wabena
9. Wakerewe
10. Wapare

Makabila haya yamechangamka kwenye elimu, kutafuta pesa na huwezi kuyaburuza kijingajinga. Watu wake majority wanajitambua. Asante.

Alert:
This is my opinion, it has nothing to do with tribalism. You can provide yours. Mod msifute huu uzi, kuna kitu tutajifunza kutokana na comments za wadau.
Sahihi ila wahehe wameingia kwenye list isiyo yao
 
Back
Top Bottom