Yule Ni shetani kabisaMwendazake alikuw mtumbaya kupitiliza
Erick Kabendera, Muandishi ambaye aliakamatwa kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kujihusisha na genge la uhalifu ambapo aliachiwa Februari 24, 2020 baada ya kukaa mahabusu kwa miezi saba
Akizungumza na BBC Swahili, Erick amesema aliponyeka majaribio mawili ya kuuawa ambapo moja lilifanyika nyumbani kwake. Walipomkosa walitupa sumu ilioishia kuwaua mbwa wake
Mwanahabari Erick Kabendera alikiri mashtaka aliyotuhumiwa na kuomba msamaha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliridhia na alipoachiwa alitakiwa kulipa fidia ya Tsh. Milioni 172
Nadhani hata shetani amfikiiYule Ni shetani kabisa
Hao wapumbavu ni lzm waanikwe waziAhahaha, itafichua sura za wasiojulikana, ndio kaendanazo UK kuzirekebisha zionekane vizuri
Sawa ww hutamfuata!!kichwn mavi tupuDuuu aliewindwa yupo salama muwindaji ameshaoza na wengine wapo nyuma wanamfuata.
So alimuua mwenyewe kwa mkono wake?Meko ni shetani sana. Daah!
Yaani huyu kafa kwa sababu ya albadiri na ukatili.
Kigogo anasema meko alimuua ben saanane kwa kumpiga shaba meko alikuwa ibilisi sana naona mama naye anaffuata nyayo, na sishangai kabisa its expected
We mbona ni wa asubuhi moja tu watu wanaimba na tenzi Ila Nakuhurumia sana kijanaSawa ww hutamfuata!!kichwn mavi tupu
huwezi kua mtawala bila kuondoa midomomidomo hata kama ungekua ni wewe ndio maana hata kwenye ndoa inafikia kipindi mmoja anamuondoa mwenzie.
eti habari za uchunguzi...
ulikua unachukunguza nini kima wewe?
Ana elimu ya kupigwa MTU na babake mzazi
Mbona mamaako kakuuwawa na babakohuwezi kua mtawala bila kuondoa midomomidomo hata kama ungekua ni wewe ndio maana hata kwenye ndoa inafikia kipindi mmoja anamuondoa mwenzie.
eti habari za uchunguzi...
ulikua unachukunguza nini kima wewe?
ndio maan yake. kigogo anadai hivyo.So alimuua mwenyewe kwa mkono wake?
Aiseendio maan yake. kigogo anadai hivyo.
Eti Kigogo anasema🤣🤣🤣Meko ni shetani sana. Daah!
Yaani huyu kafa kwa sababu ya albadiri na ukatili.
Kigogo anasema meko alimuua ben saanane kwa kumpiga shaba meko alikuwa ibilisi sana naona mama naye anaffuata nyayo, na sishangai kabisa its expected
na bashite ndiye aliyepewa jukumu la kusimamia kila kitu.Aisee
ee ndio. sijasema mimi kwa sababu sijui.Eti Kigogo anasema🤣🤣🤣
Afadhali umeweka hiyo caveatee ndio. sijasema mimi kwa sababu sijui.