Kabendera: Kulikuwa na majaribio mawili ya kuniua kabla ya kunikamata

Bashite lazima alikuwa mmoja wa wahusika.




Erick Kabendera, Muandishi ambaye aliakamatwa kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kujihusisha na genge la uhalifu ambapo aliachiwa Februari 24, 2020 baada ya kukaa mahabusu kwa miezi saba

Akizungumza na BBC Swahili, Erick amesema aliponyeka majaribio mawili ya kuuawa ambapo moja lilifanyika nyumbani kwake. Walipomkosa walitupa sumu ilioishia kuwaua mbwa wake

Mwanahabari Erick Kabendera alikiri mashtaka aliyotuhumiwa na kuomba msamaha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliridhia na alipoachiwa alitakiwa kulipa fidia ya Tsh. Milioni 172
 
Meko ni shetani sana. Daah!

Yaani huyu kafa kwa sababu ya albadiri na ukatili.

Kigogo anasema meko alimuua ben saanane kwa kumpiga shaba meko alikuwa ibilisi sana naona mama naye anaffuata nyayo, na sishangai kabisa its expected
So alimuua mwenyewe kwa mkono wake?
 
Ona hii sijui imeandika nin?,bado upo gizani unaabudu miungu ya waarabu na wazungu unajiona umemaliza
 
huwezi kua mtawala bila kuondoa midomomidomo hata kama ungekua ni wewe ndio maana hata kwenye ndoa inafikia kipindi mmoja anamuondoa mwenzie.

eti habari za uchunguzi...

ulikua unachukunguza nini kima wewe?
Mbona mamaako kakuuwawa na babako
 
Meko ni shetani sana. Daah!

Yaani huyu kafa kwa sababu ya albadiri na ukatili.

Kigogo anasema meko alimuua ben saanane kwa kumpiga shaba meko alikuwa ibilisi sana naona mama naye anaffuata nyayo, na sishangai kabisa its expected
Eti Kigogo anasema🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom