Kabakwa live

Nitakuwa nimevaa Helmet haina shida hata nikianguka! Nitakuwa nimekushikiria kiunoni kwa nguvu

ona kama hiii

tumblr_l71e2vQOqi1qc7oup.jpg

Mchungaji...hawa ndo washirika wa kanisa lako au??!!!!!
 
mimi ntakuwa naendesha kwa hiyo mbona umevaa kiajabu hapo nyuma kama mdada hivi.Utanipunguzia spidi kwa uzito nataka niwe kasi hiyo 110km/h hata kwenye kona.

Weka 120 Km/hr ili ikitokea ajali iwe imetoka.

jamaica-motorbike-2.jpg
 
sikumaanisha huko uendako,popote alipo,msalimu tu shemeji yangu.....vipi kozi ya lugha inaendeleaje???
hii naipata wikiend tuwapo na muda wa kutosha last wiki sikuwa Arusha kwa hiyo sidhan kama muda wiki hii utaruhusu.Mbona ulikimbia swali lanu kwenye jukwaa ulilonielekeza?
 
Weka 120 Km/hr ili ikitokea ajali iwe imetoka.

jamaica-motorbike-2.jpg

Rev umekuja kufanya nini kwenye hili jukwaa?naanza kukushushia heshima kidogokidogo.No sijazoea hiyo muendo mchungaji labda unipe cc 450 kwani ni rahisi kukata kono kuliko kwa cc 250
 
Jaribisha uone raha yake mbona hata 110 za faa!
 
hii naipata wikiend tuwapo na muda wa kutosha last wiki sikuwa Arusha kwa hiyo sidhan kama muda wiki hii utaruhusu.Mbona ulikimbia swali lanu kwenye jukwaa ulilonielekeza?

Lile jukwaa siliwezi my dear,sijaliona swali ngoja nikapitie kule nitafure ile thread nikujibu......:rain:
 
ni wachache sana tunaweza kushinda majaribu kama haya. hata mkituiga hamuwezi , nashauri mjaribu kuepuka vishawishi.

mwisho wa mahubiri.

tusemeni amen
 
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

AMEN
 
Jamaa yangu anapanga kwenye nyumba moja na mwanamke ambaye mmewe anasoma nje. Huyu mwanamwanamke amekuwa akitafuta namna ya kufanya ili apate huduma toka kwa huyu jamaa yangu lakini hakupata approach pia jamaa yangu huwa hagusi wake za watu. Sasa jana jioni, yule mwanamke alimwomba jamaa akamsaidie kupanga furniture chumbani. Yule mdada alikuwa amejifunga kanga ati anataka wakimaliza kupanga vitu aende kuoga. Mambo yakawa hivi: HIKI KITANDA NAOMBA TUSOGEZE HAPA, HILI KABATI LISOGEE NYUMA KIDOGO, NJOO UPANDE HUU TULIVUTE KABATI.... jamaa akawa anafanya kama alivyoambiwa. katika ule ubusy, si kanga ikadondoka, na tazama ndani hapakuwa na chupi wala kivazi chengine!! Jamaa anasema, ghafla mguu wake wa katikati ulinyooka 90° huku ukimvuta kuelekea pahala pasipo mguu maungoni mwa yule dada. Wakafanya hiyo shughuli nyingine kwa fujo sana. BAADA YA KUMALIZA, YULE DADA AKAMWOMBA WARUDISHE KITANDA NA KABATI KAMA VILIVYOKUWA MWANZO.

JE WEWE KAMA MWANAUME UNGEJIZUIAJE HAPA?

Kaka ebu nidokeze imetokea wapi hii ishu??? Naona kama inanigusa??? Ni bongodaresalaam, arusha au?????? TAFADHALI SANA NAOMBA UNIJUZI. KAMA NI BONGO NI MAENEO GANI??
 
Yule jamaa aliniambia kuwa atajipitishapitisha kwa yule dada hadi aombwe japo kufukuza panya ili apate nafas ya kumchapa nao !
 
Jamaa yangu anapanga kwenye nyumba moja na mwanamke ambaye mmewe anasoma nje. Huyu mwanamwanamke amekuwa akitafuta namna ya kufanya ili apate huduma toka kwa huyu jamaa yangu lakini hakupata approach pia jamaa yangu huwa hagusi wake za watu. Sasa jana jioni, yule mwanamke alimwomba jamaa akamsaidie kupanga furniture chumbani. Yule mdada alikuwa amejifunga kanga ati anataka wakimaliza kupanga vitu aende kuoga. Mambo yakawa hivi: HIKI KITANDA NAOMBA TUSOGEZE HAPA, HILI KABATI LISOGEE NYUMA KIDOGO, NJOO UPANDE HUU TULIVUTE KABATI.... jamaa akawa anafanya kama alivyoambiwa. katika ule ubusy, si kanga ikadondoka, na tazama ndani hapakuwa na chupi wala kivazi chengine!! Jamaa anasema, ghafla mguu wake wa katikati ulinyooka 90° huku ukimvuta kuelekea pahala pasipo mguu maungoni mwa yule dada. Wakafanya hiyo shughuli nyingine kwa fujo sana. BAADA YA KUMALIZA, YULE DADA AKAMWOMBA WARUDISHE KITANDA NA KABATI KAMA VILIVYOKUWA MWANZO.

JE WEWE KAMA MWANAUME UNGEJIZUIAJE HAPA?

Mambo haya ndo siyapendi, yaani mi nakusimulia wewe unakuja kuweka jamvini. Ona sasa JF wote wanajua kama nimetwanga yule mke wa mtu, we sio kabisa!!
 
Kaka ebu nidokeze imetokea wapi hii ishu??? Naona kama inanigusa??? Ni bongodaresalaam, arusha au?????? TAFADHALI SANA NAOMBA UNIJUZI. KAMA NI BONGO NI MAENEO GANI??
DAH mie pia, kwa hiyo sie tulieacha wake zetu bongo jamaa wanachakachua kimtindo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom