Kabakwa live

vegule

Senior Member
Dec 17, 2010
121
4
Jamaa yangu anapanga kwenye nyumba moja na mwanamke ambaye mmewe anasoma nje. Huyu mwanamwanamke amekuwa akitafuta namna ya kufanya ili apate huduma toka kwa huyu jamaa yangu lakini hakupata approach pia jamaa yangu huwa hagusi wake za watu. Sasa jana jioni, yule mwanamke alimwomba jamaa akamsaidie kupanga furniture chumbani. Yule mdada alikuwa amejifunga kanga ati anataka wakimaliza kupanga vitu aende kuoga. Mambo yakawa hivi: HIKI KITANDA NAOMBA TUSOGEZE HAPA, HILI KABATI LISOGEE NYUMA KIDOGO, NJOO UPANDE HUU TULIVUTE KABATI.... jamaa akawa anafanya kama alivyoambiwa. katika ule ubusy, si kanga ikadondoka, na tazama ndani hapakuwa na chupi wala kivazi chengine!! Jamaa anasema, ghafla mguu wake wa katikati ulinyooka 90° huku ukimvuta kuelekea pahala pasipo mguu maungoni mwa yule dada. Wakafanya hiyo shughuli nyingine kwa fujo sana. BAADA YA KUMALIZA, YULE DADA AKAMWOMBA WARUDISHE KITANDA NA KABATI KAMA VILIVYOKUWA MWANZO.

JE WEWE KAMA MWANAUME UNGEJIZUIAJE HAPA?
 
hata kutegwa hajategwa kajitegesha na yeye vilevile,wametegana hawa:coffee:

Alafu watu mnaamisha vitanda na makabati huku mtu kavaa kanga... what do you expect...?

Mi nadhani jamaa alikuwa anasubiri opportunity kwa hamu...
 
Alafu watu mnaamisha vitanda na makabati huku mtu kavaa kanga... what do you expect...?

Mi nadhani jamaa alikuwa anasubiri opportunity kwa hamu...

alipoipata hakufanya ajizi,ukute hapo alikuwa na umero wa karne,si unaona anasema walinanihii kwa fujo umero huoooo:laugh:
 
alipoipata hakufanya ajizi,ukute hapo alikuwa na umero wa karne,si unaona anasema walinanihii kwa fujo umero huoooo:laugh:

Kweli kabisa watu huwa wanatafuta sababu tu ili wasionekane wabaya... am sure kuanzia hiyo jana huu ndio utakuwa mchezo wake... ameshaonja asali sasa atachonga mzinga mpaka siku mwenye mali atakapowashika
 
Kweli kabisa watu huwa wanatafuta sababu tu ili wasionekane wabaya... am sure kuanzia hiyo jana huu ndio utakuwa mchezo wake... ameshaonja asali sasa atachonga mzinga mpaka siku mwenye mali atakapowashika

mhh kama mambo yenyewe ndio haya,oweni au oleweni mkiwa mmemaliza kila kitu:laugh::laugh::laugh:
 
Ningekuwa mimi, ningeoza kimoja tena angalau niondoke na viwili nikiwa niko saaaaaaafi.
 
Hebu badili heading yako. Nani kabakwa hapo?? Unakwenda kuhamisha kitanda unategemea nini???
 
teh teh teh! Hapo walikuwa wanasubiri oportunity kama hiyo. Jiulize kama ingetokea hivyo kwa mama yake au dada yake kwa bahati mbaya wakati anaenda bafuni, will he do the same?
 
Wote wanawazuga watu, walikuwa wanategeana tu,

Kila mmoja lifurahi kupata upenygo. Sasa wasubiri kitakachowakuta huko mbele ya safari kwa sababu aonjaye asali hachovyi mara moja tu!

Kazi ipo!!!
 
Wote Wazinzi tu ...

Huyo jamaa yako inawezekana hata mtoto wake wa kike kanga ikidondoka atasimamisha!
 
mmh! hivi hapo kinga ilitumika kweli?

Kama walitumia tutajiuliza in maana huyo dada alikuwa kesha jiwekea akiba ya kondomu?
Au jamaa huwa anatembea na spea kwenye wallet ili kujikimu wakati wa dharura??

Kwa staili hii wachungaji na mashehe wataongoza sana misa/swalaa za mazishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom