yupo yupo kapumzika kidogo..
JF bana unaweza kulala unaota iko JF
Niko nae apa anachezea playstation, amesmile baada ya kuona posts zenu na anawasalimia pia
Huyu mwanaJF kaishia wapi wandugu? Alikuwa amezoea sana kuweka kambi MMU na kuonekana majukwaa mengine lakini ghafla katoweka. Najua kwa uhakika hana Ban. Mwenye kujua habari zake atueleze.
Pia nafurahi kuwaeleza kuwa Lizzy kafunguliwa. Nilimwona jana 2/5 kule MMU.
Karibu sana Lizzy!
Tafadhali mwambie ajitokeze haraka hapa JF, tunamhitaji.Tunataka tumpe U-Mod. Atatufaa!
Kumbe mimi nahangaika kumtafuta halafu wewe umemkaba!!!!! Mwachie bana aje asalimu watu kwa jina la bwana.
Kaba anahangaika kuchomoa kamkono kake toka kwenye niniliyu,kila siku nilikuwa namwambia akachomoe hataki ona sasa kamegandia humo!
Kabakabana yuko kijijini Kideleko Handeni Tanga kwa Mkaza Mjomba wake.................LOL