Kabakabana Uko Wapi?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,257
Huyu mwanaJF kaishia wapi wandugu? Alikuwa amezoea sana kuweka kambi MMU na kuonekana majukwaa mengine lakini ghafla katoweka. Najua kwa uhakika hana Ban. Mwenye kujua habari zake atueleze.

Pia nafurahi kuwaeleza kuwa Lizzy kafunguliwa. Nilimwona jana 2/5 kule MMU.
Karibu sana Lizzy!
 
Niko nae apa anachezea playstation, amesmile baada ya kuona posts zenu na anawasalimia pia
 
Kabakabana unakabana wapi dada yetu? Njoo mitu ya JF imekumiss wewe.
 
Huyu mwanaJF kaishia wapi wandugu? Alikuwa amezoea sana kuweka kambi MMU na kuonekana majukwaa mengine lakini ghafla katoweka. Najua kwa uhakika hana Ban. Mwenye kujua habari zake atueleze.

Pia nafurahi kuwaeleza kuwa Lizzy kafunguliwa. Nilimwona jana 2/5 kule MMU.
Karibu sana Lizzy!

Yule ni Vasco da Gama wa kike! Huenda yuko Mtwara ...
 
Kaba anahangaika kuchomoa kamkono kake toka kwenye niniliyu,kila siku nilikuwa namwambia akachomoe hataki ona sasa kamegandia humo!
 
Kabakabana yuko kijijini Kideleko Handeni Tanga kwa Mkaza Mjomba wake.................LOL
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom