Kabadilika ghafla, sijui nifanyeje?

Kabadilika ghafla, sijui nifanyeje?

Ngoja nipite tu.Mkuu ukihitaji ushauri kweny mambo ya dini nishtue nikushaur
 
Kwanza jifunze kutofautisha huba na haba....
Kisha rejea na uzi kamilifu....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wanaume heshima yetu itaendelea kupungua mpaka tutakapoangalia ni wapi genes zetu zilichafuliwa na tuanze kusafisha[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ishu kama hiyo ya kuja kuanzisha uzi kweli? Umeganda kwenye keyboard unauliza maswali kama haya?

Kwamba hauwezi kufikiria au siyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jifunze kwanza kuandika....kwa muandiko kama huo si dhani kama kweli umeajiriwa ofisini....
 
Sikia na haraka ila mwenyewe ndo alianzisha sms za kawaida ananiambia na mtia nyege so kumwomba ikawa Poa ila ndo hivyo kabadilika ghafla kwani hata mi si kupanga mapema hivi sema yye kanipanga hivi.. Sasa nimejianda siku nzima kisaikolojia then unanipa shit zisizo na sababu at the last point.. [emoji35] [emoji27] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
usipotmba utakufa?
 
Kimsingi nimepata demu mzuri ndani ya wiki hii yaani j3 kitambo nimekamendea toka December sasa kajileta ofisin kwangu nikamwomba namba ya SIMU nikampa SIMU yangu nikashanga Mara ya kwanza KUOMBA namba mwanamke akanipa na kuzisevu kabisa line zote.. Katoka pale tukaanza kuchati mpaka j4 ilikuwa tumeshapanga Adi kula Tunda ikashindikana j4 j5 alhamis, ijumaa leo ilikuwa nikale mzigo.. Mpaka mchana nimemwita tumeongea fresh kufika saa 10 jioni ..
Story zikanzaa ohhh subiria .. Mara nipe mda.. Kidogo mara nataka kuja kwako ok nikamwambia twende lodge leo ila j2 uje kwangu kushinda kazingua sasa nimemwambia twende kwangu basi
Nalo kazingua sasa..
Jioni hii ananiambia anataka kuwa Mke wangu . in second
Usiku mwema.. Bila explanation yoyote
Nimfanyejee Nina hamu balaa na yeye...
Muowe yaishe,hapo ndio utajua kwa nini ndizi sio tunda.
 
Wewe ni jipu, unataka sisi tusio na namba zake tukubembekezee au?,wanaume wanaisha duu hadi hilibumeleta huku?
 
Back
Top Bottom