Kaamua tukapime,yeye ndo kakutwa POSSITIVE.

Kaamua tukapime,yeye ndo kakutwa POSSITIVE.

Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?

Endelea kungoja akufanyie manuva na wewe uwe+ ndiyo utakuja tukupe ushauri! Tumia hicho kichwa kufikiri na kufanya maamuzi.
 
Ya nini kujitia pressure za bure, utapima pale inaporadhimu au ukiwa na ujauzito, au huna plan ya kuzaa?

Kuzaa ntazaa Matola ila sio sasa................nilihisi nahitaji kujua kabla sijafika hiyo stage
 
Pole sana. Kwa vipimo vya Tanzania, subiri tena upime baada ya miezi mitatu!
Ukiwa "safi" sikushauri kuendelea na huyo mwenzako! Uwezekano wa kukuambukiza virusi ni mkubwa!

Hivi, umeshafahamu mwenzi wako ana virusi halafu bado mashine inasimama kwake, au hamu inakujia juu yake?

Majanga!

kwani anaona kirusi au mwanamke tena mrembo.khaa kijana anajitahidi.
 
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?

daah hongera kwa ujasiri mkuu, +v umejilipua na condom .tukiwa kama wewe unyanyapaa hakuna tena duniani.
 
Yeah then play ur card wisely you will never regret.

I have one boy standard five.

Thats what I have been doing.....Playing SAFE protecting myself(Thanks kwa huo ushauri)

Duh Hongera sana...........Umekuza sana
 
chum kane yupo right, yaani unajua huyu ana ngoma lakini unaiamini kondom kuwa itakupa usalama:shocked:, huu ni ujasiri, si utani.
vp eddy brown ni mke wa ndoa nini??
 
Kwani na wewe asikuambukize tu! Mkaishi wote kwa matumaini! Kuliko hivyooo!!! Maana unampenda demu wako mkuuu!!!
 
ukute na wew unayo au utapata,usinyoshe vidole..any1 can get HIV

Umenena hasa. Kuna watu wananyanyapaa wenzao kabla hawajapima. Ukweli ni kwamba 70% ya watanzania wana ngoma. Kama wanabisha wapime waone
 
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?

Mwenzio mjanja. Alishapima na alijua afya yake ila hakukuambia sababu alitaka akuambukize kwanza. Na alifikiri kakuambukiza hivo ndio maana akakuambia mukapime ili akahakikishe kama umeupata ili musiachane. Ni vizuri angemtafuta mwenzie alie positive kama yeye mwenyewe.

Mungu ni mkubwa jamani, kakuokoa. Ila baada ya miezi 6 kapime tena.
 
Usimuache kwanza, pima tena na tena kila baada ya miez 6 kwa awamu tatu, inawezekana hata na ww unao ila haujaonekana, huwa yanatokea
 
kweli kaka yangu kachanganyikiwa hadi kafungua thread mbili kwa topic moja. Moderator please merge topic ili tucomment sehemu moja
 
Last edited by a moderator:
kitaalam inaitwa 'DISCORDANT' inawezekana wapenzi waka-share sex kwa muda mrefu mmoja akiwa POSITIVE na mwingine NEGATIVE, na ikaendelea kuwa hivyo. zipo sababu, though bila kuchukua tahadhari stahiki, hali inaweza kuwa vinginevyo! na kwa jinsi technology ya science ya tiba ilivyokuwa, kwa miaka ya karibuni wamekuwa wakipata watoto wasio adhirika, hivyo huna haja ya kumkimbia/kumnyanyapaa. mpende na kumjali, tembeleeni vituo vya afya, pateni mjadala mpana na wataalam wa afya, mtayafurahia maisha. Mungu awasaidie!
 
Window period ni miezi 3 ndo vdudu vinaonekana. So kapime tena baada ya huo muda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom