Kaamua tukapime,yeye ndo kakutwa POSSITIVE.

Ukiona hivyo ujue njia za panya nyingi,sasa amua tena ukipima unaogopa kuvua vua chupi,nenda kapime peke yako kwanzaa

wala mimi sitembei njia za panya, natumia njia zilizoidhinishwa...
Afu navua pichu yangu tu, zingine siwezi kuzivua, ila naogopa kupima...
Utanishika mkono white girl? twen'zetu bana!
 
Last edited by a moderator:
Yani umegundua kama anao na bado ukaendelea kupiga show.....una roho ngumu hata motoni waweza ishi
 
Hii sasa ndo pilipili ya shamba yani umesimulia wewe ila nimeogopa mie....

Usiombe iwe kwako, yaani we sikia tu mwenzako yuko hivi. Ile kufikiria tu kwamba uko hivyo unapoteza zaidi ya kg 10 na bado hujapata stress related diarhoea
 
Sikuli mtu ninayemjua anao. Hata kama ntavaa Condo 4 kwa mpigo. Yakhhhh siwezi siwezi. Naweza kumkumbati but that is as far as it will go. Yaani hata kiss tu akijaribu namgeuzia shavu.
 
Ulimuahidi kuto kumuambia mtu.
Kwahiyo jf hakuna watu?
Unaowaomba ushauri sio watu?
Kwanini umeamua kuvujisha siri uloahidi kuitunza?

Tuanze na hapo kwanza


He he he kazi kweli kweli sie si watu ni mizimu naona, ila da! yataka moyo kwlei kweli
 
Usiombe iwe kwako, yaani we sikia tu mwenzako yuko hivi. Ile kufikiria tu kwamba uko hivyo unapoteza zaidi ya kg 10 na bado hujapata stress related diarhoea

mweh!!! ugonjwa umekaa sehemu mbaya kwakweli....
 
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna atakaemtaka tena.Mi nikamwambia siwezi muacha na sitomwambia mtu.Baada ya hapo tukawa tunatumia kinga ila simuoni kama zamani na nataka nimuache kiustaarabu.Je nifanyeje?
Unamwacha unaenda wapi ss ili hali ulishamwambukiza indirect? Hapana mm sikubali usimwache atajiua kweli huyo. Lkn kwa nn umwache ili hali kakusaidia kujua hali yako kiafya? MSHUKUKURU SANA HUYO MTU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom