Una moyo kutembea nae huku unajua ni muathirika,duu una moyo kama wa simbaa wallahi
Una roho ngumu. Bado unachapa tu!?. nakushauri uache. Duh!
Aisee........nikisikia hizi ishu huwa naogopa sana
na ndio maana anataka tumshauri ili amuache kistaarabu
sasa kumuacha mtu kama huyo kistaarabu sijui ndio ikoje eti??? Inakuaje hapo
Aisee........nikisikia hizi ishu huwa naogopa sana
kwani anaona kirusi au mwanamke tena mrembo.khaa kijana anajitahidi.
Niliwahi kuadithiwa...kuna jamaa alimtokea demu mkaliiiiii, demu alimwambia jamaa kwamba yeye (demu) anaishi na vvu. Jamaa alimwambia potelea mbali afanye naye japo mara moja tu kwa kutumia mpira. Yaani aonje tu!
kitaalam inaitwa 'DISCORDANT' inawezekana wapenzi waka-share sex kwa muda mrefu mmoja akiwa POSITIVE na mwingine NEGATIVE, na ikaendelea kuwa hivyo. zipo sababu, though bila kuchukua tahadhari stahiki, hali inaweza kuwa vinginevyo! na kwa jinsi technology ya science ya tiba ilivyokuwa, kwa miaka ya karibuni wamekuwa wakipata watoto wasio adhirika, hivyo huna haja ya kumkimbia/kumnyanyapaa. mpende na kumjali, tembeleeni vituo vya afya, pateni mjadala mpana na wataalam wa afya, mtayafurahia maisha. Mungu awasaidie!
Nillisha kwambia, twende wote tukapime, majibu tutakayo pata chcochote tunaweza kuamua hapo hapo mimi na wewe, mbona huelewagi Heaven on Earth!?hahahaaaaa hiyo ishu ya Agha khan nimewahigi kuisikia...........
mie niliendaga ila kitambo kidogo na sa hivi nna mpango wa kwenda ila naogopaje........
Mkuu, hapo kwenye Bold, nahisi kama umetudanganya hivi!?Jamaa kama kachanganyikiwa. Mtu kuwa naye sio lazima msex. Aendelee kuwa naye lakini sio kusex.mimi kuna siku nililala na demu kitanda kimoja akiwa hajavaa nguo lakini hata haijasimama sababu tu jamaa yake alienda kupima akakuta ameathirika. Ile hali ilinifanya nikose aman kabisa hata sikumgusa. Nashangaa roho ya huyu jamaa.
Nillisha kwambia, twende wote tukapime, majibu tutakayo pata chcochote tunaweza kuamua hapo hapo mimi na wewe, mbona huelewagi Heaven on Earth!?
Mkuu, hapo kwenye Bold, nahisi kama umetudanganya hivi!?
Ya nini kujitia pressure za bure, utapima pale inaporadhimu au ukiwa na ujauzito, au huna plan ya kuzaa?
Ee Mungu Mwenyezi, nirehemu....
Kweli naogopa wala si utani...sijui siku hiyo itakuwaje! Na nahisi kama hiyo siku inakaribia sana..