Kaamua kususa

Kaamua kususa

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Kila nkipita mitaa ya ununio bado Hali iko vile vile, picha ya kwa za na ya pili, sijui Nani alimuzia huyu hii sehemu na kama aliuziwa ilikuwa wakati wa kiangazi, sijui hakujua kama eneo Hilo huwa linajaa maji, inasemekana aliyekuwa akiishi hapa alikuwa mzungu
Sasa sjui bado Ana subiria Bima imlipe [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila waliyomfanyia mipango hadi kumuzia walichomfanyia ni zaidi ya Roho mbaya
Mtu kaacha jumba hadi Gari..... Na ni mudaa

Picha ya Tatu na ya nne naona wasonjo(wasomali) nao sjui Nani aliwaingiza mkenge nao hapo kujenga apartments maana wameunguza fedha nao



Ova
20190716_143025.jpg
20190716_115302.jpg
20190716_143105.jpg
20190716_143112.jpg
 
Hahahaha hapo hata mimi huwa pana nigikirisha sana ..Jamaa wame unguza pesa mnooo. .huyo mwenye hiyo nyumba nyeupe amepakimbia hapo ameacha mpaka Sola Hahaha. ..kavurugwa hatari. ...so napo Anzaga kufikiria huo mradi wa hizo apartment ndio huwa nachoka ..Aise Kuna watu Wana pesa bwana asikuambie mtu
 
😅 😅 Kaacha na gari hataki ujinga.... Dalali alimuuzia kiwanja cha wachimba chumvi.
 
Hii nyumba nyeupe zamani maji yalikua hayajai hapo ila nasikia kutokana na shida ya mafuriko kule basihaya ilibidi watengeneze mtaro mkubwa kutoka kule na sehemu ulipokua ukimwaga maji ni hapo ndio maana ila zamani ilikua ni nyumba safi kabisa hamna maji..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom