Kaa kimya

Insommia inakutafuna wewe
 
Ni roho ya wito wa KiMungu ningetaka fursa nisingekuwa hapa leo
lakini nimeshavuka viwango vya matamanio ya kupata kwa njia hiyo
Basi uwe mwinjilist ueneze injili..wengi mnakimbilia kuanzisha makanisa ..hubiri nyumba kwa nyumba !
 
Hakika brother, Lakini hayo yote yanawezekana kwa msaada wa Roho mtakatifu tu, Lakini kwakutumia Elimu na busara za kibinadamu,utajikwaa tu, maana kuna wanadamu wana lugha na maneno yamejaa pilipili,usipotoa machozi, Basi mdomo utawashwa
 
Ukishaona hii ni pilipili bro kimbia...RUN!
 
Bwana atakupigania wewe ukinyamaza na kutulia.

Kutoka 14:14

Na neno hili likafanyike baraka kwako tangu sasa na siku zote.. Aamen
Amen


katika mojawapo ya mapambano yangu katika maisha yangu ni kujifunza kukaa kimya na kusamehe. Namshukuru Mungu nimeweza kwa kiasi flani, na nimeona mabadiliko kwenye maisha yangu. Naendelea kumwomba Mungu aendelee kunibariki zaidi na zaidi katika jambo hili, Amen.
 
Yani dada yetu kipenzi katika imani nusra anauwawa kikatili kwenye ajali na gari la serikali tukae kimyaa? Haiwezekani.

Jumatatu tutaandamana kwaanzia ubalozi wa Israel, Marekani hadi bungeni.


Gavana ielewemitaa hydroxo inamankusweke Akhi Mokiti
 
Anza kuandamana kwenda kwa Pengo

Allah the almighty is beautiful and pretty i love her and his prophet Muhammad is hot very handsome and their religion Islam is sweet.

I love ALLAH muhamad and Islam. Plenty of countless kisses to them mwaaah mwaaah mwaah πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’• mwaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…