Kaa kimya

Kuna mtu jana alisema et wewe unashadadia nyuzi za ajabu zisizoeleweka nilimshangaa sana
Ahsante kwa ujumbe murua.
SILENCE IS NEW RELIGION.
SILENCE IS POWER.
Unajua sometimes lazima kujichanganya na kufurahi na wengine.. Furaha ni tiba ya afya ya akili, hivyo kuna wakati kuna baadhi ya nyuzi ni muhimu kuzifikia pia
Ila ukionekana huko baadhi wanakushangaa
 
Tunapenda kukaa kimya kwa ajili ya hayo uliyoandika ila huwa tunatakiwa tuongee ili ushiriki wetu uonekane tumeongea jambo. Umekaa kimya kikaoni huchangii mada, mwenyekiti wa kikao au wajumbe wanakuuli mbona huongei umekaa kimya tu? Na hapo hujanyoosha mkono kuomba kuchangia hoja. Ni kama huwa tunalizimishwa tuongee sisi wapenda kukaa kimya
 
yesu aliwaambia watu fulani nyakati zile----

"mkiwanyamazisha hawa mawe yataongea"

nafikiri yesu alionyesha kuwa ukimya sio dawa kwenye tatizo lolote
 
 
Suscribide,liked and commented
 
Nimefafanua aina ya ukimya LOTH HEMA


~ Nyamaa, kaa kimya, katikati ya kilele cha hasira, kaa kimya,
~ Ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki. kaa kimya.
~ Ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu, kaa kimya,
~ Ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele, kaa kimya,
~ Kama huna ukweli wote, kaa kimya.
~ Wakati unahisi kukosolewa, nyamaza.
~ Ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.

Ukimya siku zote ni bora kuliko maneno yasiyo na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…