Asante sana kwa hiliUkimya ni hazina iliyofichwa. Ukimya unaturuhusu kutazama, kufikiria, kuelewa, na kuunganishwa na hekima yetu ya ndani. Wakati mwingine ni muhimu kunyamaza ili kupata majibu na kugundua mitazamo mipya. Sikiliza ukimya na utaona yote ambayo unaweza kujifunza.
Nyamaa, kaa kimya katikati ya kilele cha hasira.
Kaa kimya, ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki.
Kaa kimya.
ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu.
Kaa kimya, ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele.
Kaa kimya, kama huna ukweli wote.
Kaa kimya, wakati unahisi kukosolewa.
Nyamaza, ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.
Ukimya siku zote ni bora kuliko maneno yasiyo na maana.
Kaa kimya! Ukimya ni hekima
Ukimya ni tafakuri
Ukimya ni kujitathmini
Good morning [emoji173] Tanganyika,[emoji173]
Muda na ukimya ndio mambo mema zaidi katika ulimwengu wa leoAsante sana kwa hili
Naunga mkono hoja, na kati ya vitu ambavyo nimeomba sana Mungu ni anifundishe, ni anifundishe kunyamaza.
Japo mimi ni mwalimu mzuri wa kufundisha wengine kunyamaza Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? lakini kwangu mwenyewe, kunyamaza ni changamoto. Naikumbuka hii Paskali, ukimya si utupu bali ukimya umebeba majibu mengi kuliko maandishi
P
[emoji848][emoji1545]Asante sana kwa hili
Naunga mkono hoja, na kati ya vitu ambavyo nimeomba sana Mungu ni anifundishe, ni anifundishe kunyamaza.
Japo mimi ni mwalimu mzuri wa kufundisha wengine kunyamaza Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? lakini kwangu mwenyewe, kunyamaza ni changamoto. Naikumbuka hii Paskali, ukimya si utupu bali ukimya umebeba majibu mengi kuliko maandishi
P
Halleluyah 🙏🏾Bwana atakupigania wewe ukinyamaza na kutulia.
Kutoka 14:14
Na neno hili likafanyike baraka kwako tangu sasa na siku zote.. Aamen[emoji173]
Huu ni ukweli mtupu na hongera kwa kutuelimisha. Ni binadamu wachache wamejaaliwa kuitambua hii hekima ya kunyamaza, ziko faida nyingi katika kunyamaza na iwapo ukajaliwa kuwa na uwezo wa kufumba maji kinywani kila unapokutana na nyakati ngumu hasa za maudhi, dharau na mengine mengi yanayofanana na haya huwezi kuingia kwenye ugomvi wa aina yoyote na mtu yeyote.Ukimya ni hazina iliyofichwa. Ukimya unaturuhusu kutazama, kufikiria, kuelewa, na kuunganishwa na hekima yetu ya ndani. Wakati mwingine ni muhimu kunyamaza ili kupata majibu na kugundua mitazamo mipya na maono mapya. Sikiliza ukimya na utaona yote ambayo unaweza kujifunza na kujisahihisha.
~ Nyamaa, kaa kimya, katikati ya kilele cha hasira, kaa kimya,
~ Ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki. kaa kimya.
~ Ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu, kaa kimya,
~ Ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele, kaa kimya,
~ Kama huna ukweli wote, kaa kimya.
~ Wakati unahisi kukosolewa, nyamaza.
~ Ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.
Ukimya siku zote ni bora kuliko maneno yasiyo na maana.
Kaa kimya! Ukimya ni hekima, Ukimya ni tafakuri, Ukimya ni kujitathmini.
Good morning [emoji173] Tanganyika [emoji173].
Mungu akuzidishie maarifa zaidi na zaidi ili uzidi kutumika humu JF kwa viwango vya juu kabisa, binafsi nazikubali sana maada zako hasa baada ya kuacha ulozi.Kuna roho ya utumishi inaniita kila wakati na ndio iliyonifanya niache ulozi[emoji848][emoji3064][emoji2827]
Hii Ni hekima kubwa sana kwenye maisha.Ukimya ukufanya huwe na amani na kujifunza zaidi mitazamo mipya.Asante kwa ujumbe mzuriUkimya ni hazina iliyofichwa. Ukimya unaturuhusu kutazama, kufikiria, kuelewa, na kuunganishwa na hekima yetu ya ndani. Wakati mwingine ni muhimu kunyamaza ili kupata majibu na kugundua mitazamo mipya na maono mapya. Sikiliza ukimya na utaona yote ambayo unaweza kujifunza na kujisahihisha.
~ Nyamaa, kaa kimya, katikati ya kilele cha hasira, kaa kimya,
~ Ikiwa maneno yako yanaweza kuharibu urafiki. kaa kimya.
~ Ikiwa maneno yako yatamchukiza mtu, kaa kimya,
~ Ikiwa huwezi kuongea bila kupiga kelele, kaa kimya,
~ Kama huna ukweli wote, kaa kimya.
~ Wakati unahisi kukosolewa, nyamaza.
~ Ikiwa maneno yako yanatoa maoni yasiyofaa.
Ukimya siku zote ni bora kuliko maneno yasiyo na maana.
Kaa kimya! Ukimya ni hekima, Ukimya ni tafakuri, Ukimya ni kujitathmini.
Good morning [emoji173] Tanganyika [emoji173].
Shukrani sana mkuu sinyaghile [emoji1545][emoji1752]Mungu akuzidishie maarifa zaidi na zaidi ili uzidi kutumika humu JF kwa viwango vya juu kabisa, binafsi nazikubali sana maada zako hasa baada ya kuacha ulozi.