Ka Broadband Vs TTCL Broadband

Ka Broadband Vs TTCL Broadband

Bill Ricky

New Member
Joined
May 18, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Habari JF Community,
Kwa wale waliowahi tumia internet kutumia Ka satellite and TTCL cable tofauti yake katika perfomance..

Maana sasa natumia TTCL na nataka kubadilisha nieende satellite internet kama kuna speed mzuri.
 
Hii mpya sana hata mi ndo naiskia leo.
Ngoja nisubiri wadau waje kumwaga utirio
 
Back
Top Bottom