This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,909
- 4,990
i hawa wanaharibiwa ubongo kwanza wanakuwa km maroboti yani wanafanyiwa MENTAL PROGRAMMING AU CHARACTER MODIFICATION NA HAPA ZINATUMIKA MICRO CHIP na kwa njia hii unakuwa controlled na huwezi kuvujisha siri. NA NDIO MAANA NASHANGAA MTU ANASEMA NEW WORLD ORDER NI CONSPIRACY. hata masiah au ujio fake wa yesu km biblia inavyosema utakuja kwa njia ya matumizi ya hizi chip.na ndio maana wanahakikisha kila mtu duniani anapandikiziwa hizi micro chip so watawaendesha bnadamu watakavyo na kutakuwa hakuna upinzani ktk kuipokea serikali mpya ya dunia. Unaweza ona km mambo ya kufikirika lkn si hivyo.for the sake of they it has to be
hiyo kitu ni hatari sana muulize samsoni mumewe delila ilikuaje enzi zake.
ExactlyKuna movie inakuja soon inaitwa RED SPARROW nadhani inaelezea hii ishu ya hawa secret KGB agents wa kike....ni nzuri sana
Yaan ww kila uzi ni Good tuGood
Kwanini mkuuKenya itabidi wakatafute mabint nje ya nchi
Kuwa JAMBALIKA mkuu!watakuja tuHawa majasusi mabinti warembo wa ngono natamani wangenipeleleza mimi
Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
Ukiwa makini utawagundua tuNilishakutana na MTU ea namna hiyo nilimbaini baada ya miezi miwili lkn alitoka patupu michezo take niliisoma mapema
Kitabu hi hicho nilikisoma nikiwa DARASA la 7 acha kabisaaaa.TATYANA RAMANOVA kamasikoseiFrom Russia with love
Kama bwana saranga hapaa nimeshamgunduaUkiwa makini utawagundua tu
Hahahaa Kuna wengine Ni ngumu kuwagundua mkuuUkiwa makini utawagundua tu
Kuishi kwa KADI,katka kununua kuuza nk pia tazama tabia za watoto wa Sasa wanafanana tabia bila kujali anatokea Kanda ipi ya AfricaMara nying
i hawa wanaharibiwa ubongo kwanza wanakuwa km maroboti yani wanafanyiwa MENTAL PROGRAMMING AU CHARACTER MODIFICATION NA HAPA ZINATUMIKA MICRO CHIP na kwa njia hii unakuwa controlled na huwezi kuvujisha siri. NA NDIO MAANA NASHANGAA MTU ANASEMA NEW WORLD ORDER NI CONSPIRACY. hata masiah au ujio fake wa yesu km biblia inavyosema utakuja kwa njia ya matumizi ya hizi chip.na ndio maana wanahakikisha kila mtu duniani anapandikiziwa hizi micro chip so watawaendesha bnadamu watakavyo na kutakuwa hakuna upinzani ktk kuipokea serikali mpya ya dunia. Unaweza ona km mambo ya kufikirika lkn si hivyo.
Nakusaidia ili unigundue ni msarangaKama bwana saranga hapaa nimeshamgundua
Labda awe anatumia nguvu zingine zisizo za kibinadamuHahahaa Kuna wengine Ni ngumu kuwagundua mkuu
Mmmmmh haya weeehLabda awe anatumia nguvu zingine zisizo za kibinadamu