JWTZ na Waziri Mkuu ingilieni kati huu utapeli

Anatumia simu. Hiyo simu yake anaweza kutwist sauti ya Waziri Mkuu, Rais Mwinyi na watu wengine. Jamaa ni shida. Na washindwa kumkamata kila mtu anamgwaya.

Kwenye hili makampuni ya simu na tcra hawakwepi. Walichukua alama zetu za vidole kwa ahadi kwamba hatuta tapeliwa tena! Lakini cha kushangaza kuna malalamiko kibao siku hizi ya issue za utapeli. Sikui hawa akina TCRA na mitandao ya simu wanafanya nini.
 
Kweli kabisa
 
Jana nimeweka ushahidi wote kwenye fichua maovu, JF wameupiga Chini. Imenifanya nijiulize maswali mengi.
 
Nimesikia kuwa huyo generali amewaambia polisi wakimkamata itaipindua Nchi na kuifuta polisi.kwa hiyo mwacheni tu huyo field marshall maana hakuna wa kumkamata
 
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo kabisa, ukiachana na cheo Cha uongo Cha Generali ambacho ni kimoja tu kwa CDF.

Mpaka Sasa ameshatapeli watu wengi lakini hachukuliwi hatua yeyote. Maana Mimi najua Generali wa JWTZ ni mmoja inakuaje wawepo majenerali wawili?. Pia huyu Generali anatumia jina la Waziri Mkuu kuibia watu Magari pale bandarini. JWTZ ingilieni kati raia wanalizwa, wasaidieni.
Atachukuliwaje hatua wakati wewe mwenyewe umekiri hayupo huko Zanzibar wala kwenye database za JWTZ
 
Nimesikia kuwa huyo generali amewaambia polisi wakimkamata itaipindua Nchi na kuifuta polisi.kwa hiyo mwacheni tu huyo field marshall maana hakuna wa kumkamata
Sio kwa kumuogopa huko aiseeh. Yani polisi wanamgwaya sijajua kwanini
 
Angekua mkubwa sana lakini Makubwa hapana. Alafu wanaolizwa hawajalalamika kokote tutajuaje kama sio wivu wako tu.
 
Back
Top Bottom