JWTZ Military Game design & Character modelling

JWTZ Military Game design & Character modelling

Mambo mdau, nahitaji kujifunza coding, chuo gani wanafundisha vizuri na kwa muda wa miezi sita, nashukuru sana. Ningependa zaidi kama watakuwa wanafundisha Python.
Ungesema upo wap ili taarifa isiwe nusu mkuu
 
Updates

Nilicancel project kutokana na wadau kutokuwepo au kuwepo lakini hawalingani na nilichokuwa nikihitaji, lakini project sijaiterminate hii project bado nipo nayo na nitaendelea nayo mpaka nione matokeo yake ni nini, Nimeendelea kufanya modelling and designing ya assets na hapa nitaonya screen shots mana ni work in progress.
vvvvvvvvvv.jpg
Nilifikiria kuchange colors na kuacha WILCOX and NINOX NVG mount ambayo sijaiattach hapo. na pia vile vile saturation ya mavazi ikijumuisha combat trouser, na bullet proof pamoja nakubadili rangi ya knee protection pad na elbow pad.
Screenshot_9.png
Screenshot_7.png
na pia nikadesign unique combat boot ambazo hakuna sehemu wamewahi tumia, ili tu kufanya assets wawe unique. nita add na vitu vingine ikiwemo ballistic protection ocular glasses, hydration system na intra team radio ready for combat
Screenshot_6.png
Nitaendelea kufanya modelling and designing bila kuchoka mana huwa nafanya nikijiskia, na project ili ikamilike for animation inahitaji msaada wa kipesa ambao kwa sasa bado sina. na nimeona ndugu zetu wanaigeria wakichangia kwenye animation projects jambo ambalo kwa hapa kwetu ni sawa na kufukuza upepo.
this was just my dream na nafrahi kufika nilipofikia, and i am very impressed being here doing what i do.
 
Progress
Screenshot%20(36).jpeg
JJ.PNG
Capture.PNG
njh.PNG
Screenshot%20(10).jpeg
Screenshot%20(8).jpeg
Screenshot%20(9).jpeg
Screenshot%20(7).jpeg
untitled.8.jpeg
untitled.4.jpeg
untit14.5.jpeg
untit14.jpeg
 

Attachments

  • JJ.PNG
    JJ.PNG
    82.1 KB · Views: 34
  • untit14.5.jpeg
    untit14.5.jpeg
    19.7 KB · Views: 37
  • untitled.4.jpeg
    untitled.4.jpeg
    27.7 KB · Views: 31
  • untit14.jpeg
    untit14.jpeg
    17.1 KB · Views: 39
Back
Top Bottom