JWTZ Military Game design & Character modelling

panamo

Member
Joined
Nov 25, 2016
Posts
64
Reaction score
58
UPDATES 09 October 018

Nilicancel project kutokana na wadau kutokuwepo au kuwepo lakini hawalingani na nilichokuwa nikihitaji, lakini project sijaiterminate hii project bado nipo nayo na nitaendelea nayo mpaka nione matokeo yake ni nini,

Nimeendelea kufanya modelling and designing ya assets na hapa nitaonya screen shots mana ni work in progress.

vvvvvvvvvv.jpg

Nilifikiria kuchange colors na kuacha WILCOX and NINOX NVG mount ambayo sijaiattach hapo.

na pia vile vile saturation ya mavazi ikijumuisha combat trouser, na bullet proof pamoja nakubadili rangi ya knee protection pad na elbow pad.

Screenshot_9.png

Screenshot_7.png

na pia nikadesign unique combat boot ambazo hakuna sehemu wamewahi tumia, ili tu kufanya assets wawe unique.

nita add na vitu vingine ikiwemo ballistic protection ocular glasses, hydration system na intra team radio ready for combat

Screenshot_6.png

Nitaendelea kufanya modelling and designing bila kuchoka mana huwa nafanya nikijiskia, na project ili ikamilike for animation inahitaji msaada wa kipesa ambao kwa sasa bado sina.

na nimeona ndugu zetu wanaigeria wakichangia kwenye animation projects jambo ambalo kwa hapa kwetu ni sawa na kufukuza upepo.

this was just my dream na nafrahi kufika nilipofikia, and i am very impressed being here doing what i do.

========================================

Wadau nna project ambazo nimekuwa nikizifanya hususan 3D japo huwa naonyesha baadhi mana some zitakuwa official kwenye my Art station profile, huwa nafanya modelling pale ninapokuwa nimepata free time especially at the end of UE n SE,
Nilianzisha project inayokwenda kwa code name Alpha Foxtrot, ambapo Niliunda tu kutoka kwenye force protocol tajwa EchoFoxtrot.

Sasa kwa wale wenye ujuzi wa games development as we both know that game design sio kaz ya mtu mmoja, nipo tayari kudesign characters and environments kama MTU atakuja na Idea itakayo ni inspire plus outstanding project zinazoonyesha yupo kwenye respectively niche.
Below ni WIP (work in progress) tu ambazo bado baadhi ya stages, sorry for inverted flag though, I hope to official render on my 22yrs birthday this soon.

Kwa haraka haraka tu the idea was that, military trucks ziwe one side tint kwa maana dereva asijulikane anakaa upande gan,
Predators drone Nazo ziwe zina emit rays ambazo zitahinder detections za missile, at start character nilianza na mobeto as female character i love Tanzanian BT nikachange idea, unfortunately semester was going tight as we know limitations of med schools nikawa nashndwa kustay karbu na my PC mana my idea was just a short animation b4.
lkkkk.jpeg
EFM ANIMATION.jpeg
ioiu.jpeg
kkkkkkkk.jpeg
utuyuiyiyi.jpeg
ioooouu.jpeg
mon.jpeg
 
Nice mkuu..ukimalza hiyo project tupigie na euro truck tupate mod za kwetu hapa

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

tena kwa map ndo ingekua bomba zaidi, kuna kipindi nilikaa chini niikomalie hii kitu, dah, nikakwama mda
 
Vizuri sana, nilisoma hyo cozi 2D and 3D animation . Inataka moyo na muda sana
 
Wadau nna project ambazo nimekuwa nikizifanya hususan 3D japo huwa naonyesha baadhi mana some zitakuwa official kwenye my Art station profile, huwa nafanya modelling pale ninapokuwa nimepata free time especially at the end of UE n SE,
Nilianzisha project inayokwenda kwa code name Alpha Foxtrot, ambapo Niliunda tu kutoka kwenye force protocol tajwa EchoFoxtrot.

Sasa kwa wale wenye ujuzi wa games development as we both know that game design sio kaz ya mtu mmoja, nipo tayari kudesign characters and environments kama MTU atakuja na Idea itakayo ni inspire plus outstanding project zinazoonyesha yupo kwenye respectively niche.
Below ni WIP (work in progress) tu ambazo bado baadhi ya stages, sorry for inverted flag though, I hope to official render on my 22yrs birthday this soon.

Kwa haraka haraka tu the idea was that, military trucks ziwe one side tint kwa maana dereva asijulikane anakaa upande gan,
Predators drone Nazo ziwe zina emit rays ambazo zitahinder detections za missile, at start character nilianza na mobeto as female character i love Tanzanian BT nikachange idea, unfortunately semester was going tight as we know limitations of med schools nikawa nashndwa kustay karbu na my PC mana my idea was just a short animation b4.
View attachment 841998View attachment 841999View attachment 842000View attachment 842001View attachment 842002View attachment 842003View attachment 842004

una jitaidi ila kwa mashine unayo tumia bado inakuangusha
 
tena kwa map ndo ingekua bomba zaidi, kuna kipindi nilikaa chini niikomalie hii kitu, dah, nikakwama mda
Kabisa map ndio mpango mzm,
Mkuu ulitakiwa upambanie hii saiz tungekua tunapga route za ubungo kibaha [emoji16]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Good job mi Sina utaalamu wa hzo mambo ila ni mpenz Sana wa video games na nilitaman siku nicheze games made in home.... Unaonaje tukatengeneza na ya soccer pia ikiwa na timu na players wa Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka project ya kuunda game ya soka ni kazi ngumu sana kuwachonga maplays sio jambo la kitoto labda uunde cartoon au muwe madevelop hata watatu
 
Andika script ukionyesha maeneo ya jeshi/utambulisho wa jeshi na kama unahitaji msaada hata wa kitumia baadhi ya vifaa ilimradi isiwe kwenda ndani ya kambi, peleka script Bodi ya filamu bei ya chini ya kulipitia wazo lako ni Tshs 60,000 au 70,000 nimesahau kwa dakika less than 50. Watakuongoza kupata vibali vyote na hata technical support hasa kukulink na mamlaka husika ukinielewa nitakupa contact zao
 
Mkuu kazi za gemu ni ushirikiano, na hata hizo katuni nazo kudesign sio kitu simple tu kwasabu ni katuni, hebu angalia katuni za disney kwa mfano, angalia mwishoni uone wahusika kwenye designing na modelling, watu wanataka breathing character hakuna kitu rahisi ndio mana WWE wanatumia freelancers kudesign character, na makampuni mengi tu hufanya hivyo.
Games nyingine ambazo zinahitaji concepts tofauti, wanaanza watu wa Concept arts, ndipo watu wanapewa kazi zakufanya modelling.

Games nyingine wanafanya 3D scanning hata wewe nyumban unaweza fanya ukielewa concept japo 3D scan sio better than hand modelling.

Kufanya modelling ya wachezaji wa bongo sio kitu kinacho shindikana, ni possible.
Mpaka project ya kuunda game ya soka ni kazi ngumu sana kuwachonga maplays sio jambo la kitoto labda uunde cartoon au muwe madevelop hata watatu
 
Mkuu kazi za gemu ni ushirikiano, na hata hizo katuni nazo kudesign sio kitu simple tu kwasabu ni katuni, hebu angalia katuni za disney kwa mfano, angalia mwishoni uone wahusika kwenye designing na modelling, watu wanataka breathing character hakuna kitu rahisi ndio mana WWE wanatumia freelancers kudesign character, na makampuni mengi tu hufanya hivyo.
Games nyingine ambazo zinahitaji concepts tofauti, wanaanza watu wa Concept arts, ndipo watu wanapewa kazi zakufanya modelling.

Games nyingine wanafanya 3D scanning hata wewe nyumban unaweza fanya ukielewa concept japo 3D scan sio better than hand modelling.

Kufanya modelling ya wachezaji wa bongo sio kitu kinacho shindikana, ni possible.
Poa mkuu ila haujanijibu nimekuuliza umetumia tutorial gani?
 
Back
Top Bottom