Ila mimi napenda kutengeneza App like Games za kusaidia jamii especialy katika maswala ya education, natumia unity3d. Ila most of my games apps ni 2D. Mojawapo ya kazi zangu zipo playstore click link hii
Endless MathQuiz nyignine hii
akili test. Na kazi nyingine ipo ambayo itakua na levels. Mtu akiweza level 1 level 2 itafunguka nakuendelea . Bado naendelea kuitengeza mwezi ujao Mungu akijaalia nitaiweka play store na nitapost humu JF.
Mkuu mi nimekupata vizuri tu, lakini app like game na game ni vitu tofauti.
Tupo 8 generation sasa na modern workflow, programming is just a litmus hasahasa tuwe tunabuild engine na some engine kwenye artificial intelligence, ila kinachohitajika hasa ni common language ambayo wote tutaelewana, nayo ni uelewa kuhusu animation haijalishi game ni story driven au art driven
Game linahitaji vitu vifuatavyo
i) Concept art
ii) 3D Modelling
iii) UV mapping
iv) Texturing
v) Rigging
vi) Animation
Nowadays things have changed mkuu, concept artist now wanaweza Fanya modelling moja kwa moja wanapoandaa sheet, digital sculpting imefanya maisha kuwa rahisi.
Sasa basi mtu akiweza app like game sio kwamba kwenye game ndio atafit mkuu.
Game linahitaji experience with Designing mbali na coding mana engine nowadays ni nyingi ambazo zinawafavor mpaka non coders ndio mwanzo nikasema now programming ni just a litmus japo ni muhimu kama game designer akawa na uelewa kuhusu coding ingawa sio at expert level na pia game halihitaji engine tu kwamba mtu kwasabu anaiweza unreal or unity ndio awe amemaliza kila kitu.
Game linahitaji reality ili kusiwe na utata kwenye Gameplay "interaction between Player and game itself apart from Graphics" (game programming)
Watu wamekuwa wakifikiri kwasabu ni programmers basi wanawezaunda game.
Twende step by step
Target device zinahitaji optimization, na optimization haiwezi tokea tu bila designers kucheza na textures pamoja na Topology.
Animation ndio sehemu kubwa inayoumiza kichwa, mana kwenye game kama character ni MTU basi the way game is being animated ni lazima kweli lihusiane na reality MTU anavyomove japo sio exactly na kama ni monster etc itabidi concept za animation ziendane vilevile na kitu kama monster angekuepo kiuhalisia as a rule of thumb.
Knowledge ya Anatomy inahitajika kujua nivip mtu anamove, pia knowledge with weapons & gears e.t.c kutegemeana na game concept, kama ni car racing basi mtu ni lazma aelewe magari yanafanyaje kazi.
Mwisho knowledge ya graphics animation ni muhimu mkuu, mana ndio lugha tutakayoitumia kuwasiliana, ikiwa na maana kuwa hata kama wewe ni fundi TV na mwingine ni fundi umeme, inatakiwa na wewe pia uelewe hata kwa kiasi umeme unavyofanya kazi ili mfanye kazi sambamba.