BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 481
Ni ya maonyesho tu mkuu....:confused2:[/QUOT
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
Ni ya maonyesho tu mkuu....:confused2:[/QUOT
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
Hapo ndo Dr SLaa atakapojua
Kwamba nguvu na hila zote za dola zitatumika? Halafu mnasema uchaguzi wa haki.
Kwani ni lazima warushe ndege Dar wanaweza kufanya mazoezi sehemu nyingine zisizokuwa na msongamano ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea iwapo ndege za mwaka 47 zitadondoka.
Mafuriko yaliwashinda kuokoa watu na mali, sasa hayo maonesho yanasaidia nini? hivi hawaoni majeshi ya nchi nyingine yanavookoa watu kwene majanga?
Naona lilisha-cease kuwa jeshi la wananchi.Hawajashindwa, hawataki na hawajali.
Hawawezi. Wameishiwa sera.
Hivi hawa huwa hawawezi kushinda bila hila?
Hapo ndo Dr SLaa atakapojua
Ni ya maonyesho tu mkuu....:confused2:
Is this another Malaria Sugu or the same person in different names?Baada ya kupata taarifa kuwa siku ya Jmosi kutakuwa na mazoezi ya anga
ya JWTZ Dr SLaa alia na serikali mana anaona wananchi watakaokuwa mkutanoni
wanaweza kuogopa mazoezi ya JWZT wakiwa wanafanyia mazoezi katika anga la jangwani
Taaria bila kutoa source ni upuuzi! Jangwani ndio sehemu ya kufanyia mazoezi ya anga? Na huko Msata je? Mimi tayari kura yangu ni ya Dr. Slaa kuwe na zoezi kusewe na zoezi. Waangalie yasije yakatokea yale ya Segera!!!