JWTZ, KDF: Wanawake kazini

You can chan
Nashangaa. Mimi nimesema wanawake. Wakenya wanaleta hata wanaume.
Wanaleta police.

The topic says Women in KDF and TPDF.
Where are those your women? [emoji23][emoji23]
 
Wanawake weng wapo katika ofis za utawala na katika task huwez peleka mwanamke udhaifu wao tunaujua.

Mwanamke aliwekwa kama pambo la jeshi yaan UA kutokana na Kaz ngumu kwahyo wao wanakuwa kama wafariji tu
 
Kama hawa ndio wanawake huko bongo sijui wanaume wanafanana Vipi[emoji849][emoji848]
 
😂😂😂😅😂🤣 Hapana leta mchezo na KDF... Jwtz yenyewe tunaipa GSU na AP wapambane nao. KDF ni moto ya kuotea mbali nyinyi midanganyika
 
JTWZ ni jeshi letu but am not proud of them kabisa.....the main reason being kule kushindwa kwao kwenye assignment ndogo kabisa ya kuwasaka na kuwaangamiza "wasiojulikana".

kama wamewashindwa "wasiojulikana" wenye vi SMG tu na vibastola mbuzi..... ingekuwa Alshabab je?
 
British Army pia wanatumia British airways kuwasafirisha majeshi yao
Kuna kichaa humu ndani alishaa JWTZ kusafirishwa na Air Tanzania, hii post yako ninahisi utamfaa huyo mwendawazimu, unamkumbuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…