stonembush
Senior Member
- Mar 27, 2019
- 132
- 62
meanwhile did you know these rifles can pay salaries of more than 10 JWTZ personnelVulcan ameweka text ya mwaka 2005, saa hivi kila nchi imesha modernize jeshi lake, Tanzania tulimodernize jeshi letu mwaka 2014, Kenya bado mnatumia vifaa vya kizamani sana. Sema ukweli hizi helicopters zilitengenezwa mwaka gani kama sio 60s?
Naona umerudi China sasa 😂😂 hio fungua tutachangiaOnyesha vifaa mlivyonavyo acha kutuletea makubaliano, mbona mlikubaliana na China kwamba mtajengewa reli hadi Kisumu. Mbona mliweka mikataba ya kujenga Green field terminal, je viko wapi?
ha ha kaka unajua unalosema ?Tanzania Air Force inakila kitu cha kufurahisha zaidi inauwanja wa kisasa zaidi Africa ila hatuna Muda wa show off..
Chokozeni Muone
Onyesha huo uwanja wa kisasa ☺️Tanzania Air Force inakila kitu cha kufurahisha zaidi inauwanja wa kisasa zaidi Africa ila hatuna Muda wa show off..
Chokozeni Muone
ha ha kaka unajua unalosema ?
Njoo apa ngerengere uoneOnyesha huo uwanja wa kisasa [emoji3526]
Wewe tupia picha. Si wewe mwenyeji?Njoo apa ngerengere uone
Nimeona hapo kuna dada leutenant eti anasema yeye ndio first fighter pilot ha ha ha ha wakati huku wabongo tunao kibao wadada wanaolusha ndege za kijeshi
Sio ruhusa.. Jeshi letu Sio LA show off ila Chokozeni MuoneWewe tupia picha. Si wewe mwenyeji?
Hawa ni wanawake [emoji848]Nashangaa. Mimi nimesema wanawake. Wakenya wanaleta hata wanaume.
Wanaleta police.
The topic says Women in KDF and TPDF.