JWTZ itoe tamko juu ya Diamond na Ney wa Mitego Kuvaa Sare za jeshi

Ninachoweza kusema ni ufinyu wa akili zetu ndiyo unaotusumbua. Matukio ya uporaji, mauaji na utapeli yanayofanywa na raia wakiwa wamevaa sare za jeshi JWTZ, POLISI NK yamezidi kuongezeka. Jamii mara nyingi baada ya mmatukio hayo wamekuwa watoa lawama kwa jeshi kwa kutochukua hatua. Leo tunatoa lawama kwa huyu kupewa adhabu kwa kosa la kukutwa amevaa mavazi ya JWTZ mitaani Kariakoo. Mara ngapi tumeshuhudia uporaji ukifanywa na majambazi yaliyovaa sare hizo? Kwanini tunasahau haraka hivi?

babu Msemaovyo huenda hata wanajeshi wanahusika,sio malaika hao nao wana njaa zao pia,hata polisi wanaiba na wanafanya ujambaz,kover ametimua mapolisi wangap kwa wizi na ujambaz???kuna wale walokimbia na fuko la mil 150 k/koo,kuna wale waliovamia na kukwapua kiwanda cha wachina Mbezi Beach
 
Last edited by a moderator:
JWTZ huwa hawatoi matamko hovyo hovyo, isipokuwa ukikutana nao utajuta kwa nini ulizaliwa.
IMG-20141014-WA0003.jpg

 
Mitanzania ina wivu sana sasa yeye kuvaa inakunyima nini raha?

wivu mbaya sana unaumia kwa kitu ambacho hakikuhusu.

Acheni hizo

Wivu na kukomoana mkuu! Nimeshuka airport Ya bongo watu wa forodha wacha tuleteane zogo kisa wamekuta fulana, kofia na sneaker zina rangi Ya jeshi la marekani! Mpaka nilipowazuga Nafanya kazi kwenye jeshi la Marekani ndio wamenitema, baadae wanaomba zawadi, wa.se.n..e sana
 
babu Msemaovyo huenda hata wanajeshi wanahusika,sio malaika hao nao wana njaa zao pia,hata polisi wanaiba na wanafanya ujambaz,kover ametimua mapolisi wangap kwa wizi na ujambaz???kuna wale walokimbia na fuko la mil 150 k/koo,kuna wale waliovamia na kukwapua kiwanda cha wachina Mbezi Beach

Mmoja kati hawa watu ambao maiti zao ziliokotwa Zambia mpakani na Tanzania alikuwa ni mwanajeshi anayeishi maeeneo ya Tabata Chang'ombe. Na mwingine ni rafiki yake aliyekuwa dereva wa bodaboda kituo cha daladala Tabata Barakuda. Hawa wote walikuwa ni majambazi ambao walikwenda kupora mpakani Tunduma.

1410180684840.jpeg
The seven bodies of middle aged men riddled with bullet shots where found dumped in a bush in Yolo village about 500 metres away from the Tanzania Zambia border.

ZANIS reports that Muchinga Province Deputy Police Commissioner Bonny Kapeso has confirmed the development in an interview in Chinsali District today.

Mr. Kapeso said all the 7 bodies were claimed last night around 23:00 hours and taken back to Tanzania.

He said police at Nakonde have also handed over one middle aged man who was nursing bullet wounds at New Nakonde District Hospital and is suspected to have been with the dead men.

Mr. Kapeso however, could not give details as to how the man survived.

A suspect was picked early in the morning on Friday near Chaula filling station with bullet wounds on the left side of the chest similar to the bullet wounds found on the slain men who were found dumped in a bush in Yolo village about 500 metres from the Tanzania / Zambia border.

Mr. Kapeso said police are still investigating the matter to find out the motive behind dumping the dead bodies on the Zambian soil.

On Friday last week, residents of Yolo village woke up to a rude shock when they found seven dead bodies in the bush.
Yolo Village headman Laston Mugala told ZANIS in an interview that the 7 bodies were found by school- going children around 06:00 hours.

Mr. Mugala said they could not see or hear the sound of a vehicle that brought the 7 dead bodies and dumped them in a bush adding that marks of vehicle tyres dripping blood where visible over a long distance from Tanzania into Zambia where the bodies were dumped.

The seven bodies were kept at old Nakonde district hospital before they were claimed by the Tanzanian authorities.
SOURCE: LUSAKA VOICE
 
msiwe wabishi wabongo mwisho mtapigwa tu ni kosa kuvaa nguo inayofanana na za jeshi under NATIONAL SECURITY ACT. sasa ninyi teteeni tu mtaona kitakachofuata pia huyu Nay amesahau cello ya polisi alivyokutwa anashoot na mavazi ya polisi alitiwa ndani sasa anabeep JW? naamini atapigiwa tu
apo pekundu,tuandikie inavyotamkwa....
acha maneno mengi
 
Duh....Team Alikiba imevamia mpaka JF....
Diamond level zake hamziwez zaid muombeni ela amsaidie Àlikiba akashoot nje

Alli Kiba ndo nani tunachosema sheria iwe sawa kwa wote bila kujalisha wewe ni superstar au nani
 
Hairuhusiwi kisheria na wanaovaa wote wamekua wakipokea kipondo kutoka kwa wajeda ikiwemo kuloweshwa kwenye maji machafu naye wamchukulie hatua sio kuonea raia wasio julikana au kukosa mtetetzi kwa vile hawajulikana

nani kakudanganya wewe kuvaa hizo nguo inaruhusiwa kwa kibali / tuhusa maalum.

sijui kama utakuwa unakumbuka kundi la EAST COAST TEAM enzi za GK walishoot nyimbo yao kwa mavazi ya jeshi coz walikuwa nakibali nayo.
 
Mnaacha kufuatilia mambo ya maana kuhusu hii nchi, upuuzi mtupu!!! Idleness is really a disease!!!! Rubbish!!!
 
Kuna tatizo kidogo
Wanadai kuna utaratibu wa kuomba kibali na kupewa lakini unaazimwa uniform sio zako za kumiliki
Pia kwa sinema it is ok ile muziki jukwaani matumizi yanabadilika..mivie ni kujaribu kujenga taswira ila muziki haijakaa sawa
Kama ni kosa ni kosa tuWe wakweli na tusizalilishe jeshi
Ila kwa sinema hata vifaru ruksa
 
Kuna tatizo kidogo
Wanadai kuna utaratibu wa kuomba kibali na kupewa lakini unaazimwa uniform sio zako za kumiliki
Pia kwa sinema it is ok ile muziki jukwaani matumizi yanabadilika..mivie ni kujaribu kujenga taswira ila muziki haijakaa sawa
Kama ni kosa ni kosa tuWe wakweli na tusizalilishe jeshi
Ila kwa sinema hata vifaru ruksa

....Mkuu Inkoskaz habari za siku Mkuu niko Ifakara nakula bia !!!
 
Tamko la Jwtz kuhusu wasanii kutumia sare za Jwtz: soma hapa http//:jtwz.info.com
 
nani kakudanganya wewe kuvaa hizo nguo inaruhusiwa kwa kibali / tuhusa maalum.

sijui kama utakuwa unakumbuka kundi la EAST COAST TEAM enzi za GK walishoot nyimbo yao kwa mavazi ya jeshi coz walikuwa nakibali nayo.

POINT! ile si kama kuigizia tu?
 
Back
Top Bottom