Gen. Mabehyo hili la mabaunsa wa bar kuvaa kombati za JWTZ mmelifumbia macho?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
5,463
2,000
Pita bar ya kwa God mbezi Louis unakuta walinda milango ya bar wenye (vifua unfit people) wakiwa ndani ya sare za JWTZ mpya tena nzuri 100% na but nzuri zile za UNO au mabaka hii ni dosari kwa jeshi letu

Pita 5N temboni usiku JWTZ combat kama kawa na baunsa wamepigilia na buti kama wako kambini vile na zile buti za mabaka.

Kwa kipindi hiki ambacho taifa limeanza kuzorota kiusalama hasa mitaani itakuja kuwepo sababu kuwa wanaofanya hivi ni vijana wako please kuwa mkali kabisa

Tunajua kunavijana mmewatimua na wengine wapo mitaani wamekaa makambini wakijitolea ila kuvaa sare bar Ni kosa na kila askari anajua hili.

Ipo siku watazitumia katika uharifu na wananchi wenye jeshi lao hawata kuelewa kabisa kuwa wale sio vijana wako ,watasema mmewakana.

Please chukueni hatua haraka sana,anayetaka picha aende muda huu kwa God bar ipo round about ya makabe,goba,stand na stand mpya.

USSR
 

Afande Tanzania

JF-Expert Member
May 3, 2020
464
1,000
Greenguard wa ccm walikuwa na hata sasa wanavaa kombat jungle green za polisi.

Ccm ni wajinga na wapumbavu sana, wanajifanyia mambo hovyo hovyo wanajiona juu ya sheria, hata hao mabaunsa ni ccm maana mna historiza za kijinga na kipumbavu, mara sabaya akutwe na vitambulisho feki vya tiss, mara manji akutwe na kombat za Jw, mara hili mara lile, CCM ni ibilisi, anataka aondolewe kabisa mnaiozesha nchi yetu safi
 

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,277
2,000
hii sheria ya uniform za jeshi inabidi ibadirishwe.ila iwe na mashart.i inaonekana watu walipenda kazi ya jeshi wakashindwa kwa sababu mbali mbali,hivyo njia salama ya wao kutuliza kiu yao ni hata kuzivaa tu.

iwekwe miongozo kwamba
1. hutakiwi kuivaa ikiwa zaidi ya 50%,au ikiwa na cheo ama alama nyingine yoyote ya jeshi.
2.inatakiwa iwe safi kweli kweli.
3.hutakiwi kuivaa ukiwa umelewa,unafanya kazi za uchafu.
4.hutakiwi kuivaa kibishoo,mara umeibana au umeshusha chini ya matako.
5,ukikamatwa nayo kwenye tukio la uharifu unyimww dhamana.

hapo tutakata kiu ya wavaaji,na kuiacha uniform ya jeshi na heshima yake.
 

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
378
500
Greenguard wa ccm walikuwa na hata sasa wanavaa kombat jungle green za polisi.
Ccm ni wajinga na wapumbavu sana, wanajifanyia mambo hovyo hovyo wanajiona juu ya sheria, hata hao mabaunsa ni ccm maana mna historiza za kijinga na kipumbavu, mara sabaya akutwe na vitambulisho feki vya tiss, mara manji akutwe na kombat za Jw, mara hili mara lile, CCM ni ibilisi, anataka aondolewe kabisa mnaiozesha nchi yetu safi
Ongeza hiyo AMBIANCE nakuja kulipia.
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
56,227
2,000
Wanaccm wenyewe ndo hawa kina Bashite na makalio kama Sanchhoka? Hao kina Sabaya na Kina Lemutuz na vibamia vyao?
Mimi ndo nagonga wake zenu hata wewe ukikaa vibaya nakupaka mafuta ya nazi nakukula 0 yako hiyo
Duh

Ova
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,847
2,000
Hata nikivaa mavazi ya jeshi ya Rwanda au US ni kosa hapa Tanzania? Kuna nguo zinazofanana na mavazi ya jwtz kibao kwenye mitumba.
 

curie

JF-Expert Member
Oct 25, 2020
288
1,000
Hawa JWTZ wanabendi za mziki so ukute siku hiyo wamekodishwa pia hata makarandinga yao yakuwepo bar

Mwisho 5N ilishakufa kitambo
 

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
8,343
2,000
mlitaka tuishi stone ages, kutoka stone stages kurudi new era where the world lie....its not fuckin easy..... kikosi ndani ya kikosi...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom