Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,434
- 108,630
DG, RSO, DSO hawa siyo wanausalama?Ni kosa kwa mwana-usalama kujitambulisha.
Ni kosa kwa mwana-usalama kutambulika (hata kama hajajitambulisha)
Ni kosa kumtambulisha mwanausalama.
Ni kosa!View attachment 3101058