JWTZ Arusha wang'oa daraja lao!!!!

JWTZ Arusha wang'oa daraja lao!!!!

Mhhh aise tunapata shida sana asubuhi aise
Yaani tunakaribia kuwa kama dar sasa unatoka nyumbani saa mbili unafika ofcn saa nne
 
Mzee wa Rula naomba ufanye marekebisho kwenye post mama, umesema "jeshi la wananchi arusha=(JWA)" naomba uandike "jeshi wa la wananchi tanzania (JWTZ) mkoani/mjini arusha"
 
Last edited by a moderator:
Du hongera Mkuu kutujiza.
binafsi ni mtuaji wa barabara hiyo. Arusha hili ni tatizo kubwa sana hakika viongozi hwa wa magamba sijui wanafikiria kwa kutumia nini. Wana - Jf Hasara za tunazopata watu wa Arusha mjini
1: Vyombo vya usafiri kama toyo na hata magari madogo si anasa ila kwa kweli vipuri vimepanda na hizi barbara za Arusha zinatufanya hela yoooote iiishie kwenye matengenezo na hata kushindwa kuchangia shughuli za maendeleo

2: Foleni ni kubwa hamna mfano, Njiro Clock tower ndio usiseme, Sakina mianzini balaa, barabra zooote toka main road ni mahandaki hazifai. Hii ni aibu kubwa kwa manispaa kushindwa kutengeneza hata km 5 kila barabara toka mainlanda hata kiwango cha changarawe.

Kila nikiona manispaa napa kichefuchefu. Wanatudanganya na lami za wachina za eneo la makao mapya mipango ya 2009 inatekelezwa 2012 aibu aibu tena aibu
 
Kama liliwekwa kwa ajili ya dharura, ni haki yao kulitoa, after all limekaa pale miaka nenda rudi, isije ikawa wajanja walikuwa wanaendelea kutenga fedha kila mwaka halafu zinaishia mifukoni mwao. kuna haja ya kuchunguza pia.
 
TUKITESEKA WAO WANA ULA----ETI DARAJA ONA HII KWA UNDANI ZAIDI ILA PRESSURE ISIKUSHUKE😛hoto: source: http//gaidi.webs.com/

429343_109785972483757_100003570637400_32586_1367697512_n.jpg
 
Sasa ndio wamezinduka usingizini wanajenga daraja lao, lakini jamani muwe waangalifu sana na ile diversion waliyoiweka imekaa kimtego mtego sana; imagine mabanzi juu ya kifurushi cha kokoto!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom