Juzi nimemtokea demu

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
Juzi nilimtongoza demu akaniambia hawezi kunikubalia hadi nikajitambulishe kwao basi nikaamua kupiga kimya. Sasa leo kanitumia SMS anaomba nimsaidie 100,000/= na mie nimemwambia akajitambulishe kwetu.
Ukijifanya mjinga mie nakuwa mpumbavu.
 
Mkuu, kwani wewe ulitaka kumtumia na kumwaga? Kuambiwa ukajitambulishe kwao ina maana yeye kama yeye alikuwa ameshakukubali.. Ina maana ungeenda kwao kupata baraka za wazee, basi penzi lenu lingekuwa rasmi.. Think twice.. Mtumie hiyo laki, ukajitambulishe kwao and then hiyo laki utaikata kwenye mahari.
 
Sawa, lakini imekuwa ghafla mno hata uchumba badoo! Ila umenifurahisha ulivyosema nitaikata kwenye mahali
 
Back
Top Bottom