Juzi birthday yangu leo nimeibiwa simu

Juzi birthday yangu leo nimeibiwa simu

Aaah ungechinja hata jogoo tukaja kukupa moyo jamani. Usihuzunike alone. Ama nunua walau kreti 2 za biya basi. Undugu kufarijiana atii
yaani week end yangu yote wameniharibia,sina hata cha matanga wala nini,mnamuwachia mungu tu!!!
 
yah najua hilo,ila nahiisi mpk uwe umeinstall software husika,mimi nilikuwa nimeweka avg so nimeilock tu,kwa sasa na nimeacha ujumbe wa maandishi kwenye sceen ya simu,kwa kifupi hatoweza kuitumia yoyote atakayobahatika kuipata

Itabidi akurudishie mwisho wa siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom