Juzi birthday yangu leo nimeibiwa simu

Juzi birthday yangu leo nimeibiwa simu

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,306
Reaction score
3,413
Dah nimekuwa frustrated sana,furaha yangu ya birthday imeisha officially leo simu yangu kipenzi sony xperia imeibiwa na vijiwezi uchwara,wameniibia dirishani usiku,dah am out of words ila wamenivuruga kweli,masikini wameniachia headphone na charger tu.
 
halafu bado unawadharau unawaita uchwara!ngoja waje kumalizia hizo earphones na charger ndio utawapa heshima yao
 
mitaa gani unaishi mkuu wanakoiba simu kupitia dirishani?
Pole ndugu yangu.
 
Aiseee. Bora wangekuibia kabla ya besdei, labda ningekupa zawadi ya torchberry. Pole mwaya.
Sasa matanga tunafanyia wapi?
 
acha undengereko wako hama uswahilini wizi wa dirishani wa kishamba mno na wa kiswazi.
 
Pole. Nackia kuna utaalam wa kuweza kujua ilipo simu yako hebu tafuta msaada kwa wanaojua kuhusu hili.
 
Pole. Nackia kuna utaalam wa kuweza kujua ilipo simu yako hebu tafuta msaada kwa wanaojua kuhusu hili.
yah najua hilo,ila nahiisi mpk uwe umeinstall software husika,mimi nilikuwa nimeweka avg so nimeilock tu,kwa sasa na nimeacha ujumbe wa maandishi kwenye sceen ya simu,kwa kifupi hatoweza kuitumia yoyote atakayobahatika kuipata
 
acha undengereko wako hama uswahilini wizi wa dirishani wa kishamba mno na wa kiswazi.
kweli kabisa unayoyasema niapokaa mimi huwezi kapaita completely uswahoolini na hata nyumba ninayoishi haijajengwa kiswahiliswahiilli kwa kifupi na kwamb huyu mwizi/wezi wameruka ukuta na kuiiba.nikipata time naweza nikatupia picha ya nyumba!!
 
Aiseee. Bora wangekuibia kabla ya besdei, labda ningekupa zawadi ya torchberry. Pole mwaya.
Sasa matanga tunafanyia wapi?
yaani week end yangu yote wameniharibia,sina hata cha matanga wala nini,mnamuwachia mungu tu!!!
 
kweli kabisa unayoyasema niapokaa mimi huwezi kapaita completely uswahoolini na hata nyumba ninayoishi haijajengwa kiswahiliswahiilli kwa kifupi na kwamb huyu mwizi/wezi wameruka ukuta na kuiiba.nikipata time naweza nikatupia picha ya nyumba!!

nasubiria picha
 
Tushuruku kwa kila jambo.Namshukuru mungu wewe uko salama na simu utanunua nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom