Kabisa, msichana mwenyewe mdogo akili za kitoto anaonekana...Jux kurusha roho ex wake kutamponza vipesa vya madafu viishe..!!
Mwenzie Vee anahudumiwa yeye anahudumia, huo mchuano Vee anashinda mapema..!!
We tulia wewe, Kuna nyakati chini ya jua 😂 😂😂
tupe na wakwako kama ni raha...Mwanamke wanasema umbea suna😂
Ohooo! mafuta tena!Njoo Jumapili kanisani utauona maana utapata na mafuta ya upako buree uwe kijana 😂😂
Mama Mkwe wa JUKISI namuona kwenye The Real Housewives of Lagos.Habari wakuu,
Bwana mi nimewamiss,
Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea.
JUX kwanini aoe Nigeria?
Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga.
Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa zamani Vee Money.
Baada ya mrembo wake Vee Money kuolewa na Nigeria na yeye kaenda kuoa huko.
Ni kama naona Bado anashindana na X wake wa zamani. Yaani ni vita ya chini kwa chini.
Nawaona kama Vee Money naye anashindana kuonyesha kama bado anamkumbuka.
Jux nae nikama Bado moyo wake upo kwa Binti wa kipare yaani anamkumbuka mno.
Huu mpambano ni Mkali ila naona kama Jux anamshinda Vee Money sasa kwa kumringishia.
Wote wanaonekana hawakuachana vizuri yaani ni kama Bado wanapendana.
Namalizia kwa kusema Kila mtu ana X wake ambaye hawezi msahau na Uzi niliweka huku.
Jux hiyo familia itamtawala asipokuwa makini!Mama Mkwe wa JUKISI namuona kwenye The Real Housewives of Lagos.
View attachment 3307518
Hivi Jux ana mchango gani hapa Tanzania kwani hata kuimba hajuwi, analazimisha tu. He is a nobody.......suala la kuoa Nigeria si geni kwa Watanzania kwani hata kwetu nina mdogo wangu anayenifuatia naye alishaoa huko toka mwaka 2001, so suala la Jux kuoa Nigeria si geni kwa wengine. Kuna wabongo wengi tu hawana mpango na mademu wa kibongo. Jux kama anafanya vitu kumuiga ama kumkomoa V-Money atakuwa anajisumbua tu kwani mwenzake alishamove on na kumzalia Mlapopo wake.Habari wakuu,
Bwana mi nimewamiss,
Ila ngoja twende kwenye mada yetu ya huyu baro Jux na Vee Money mpambano unaendelea.
JUX kwanini aoe Nigeria?
Mi sijui naona Nini, ila ni kama naona Kuna mpambano wa Simba na Yanga.
Yaani naona kama Jux anacheza na mpinzani mwenzake ambaye ni X wake wa zamani Vee Money.
Baada ya mrembo wake Vee Money kuolewa na Nigeria na yeye kaenda kuoa huko.
Ni kama naona Bado anashindana na X wake wa zamani. Yaani ni vita ya chini kwa chini.
Nawaona kama Vee Money naye anashindana kuonyesha kama bado anamkumbuka.
Jux nae nikama Bado moyo wake upo kwa Binti wa kipare yaani anamkumbuka mno.
Huu mpambano ni Mkali ila naona kama Jux anamshinda Vee Money sasa kwa kumringishia.
Wote wanaonekana hawakuachana vizuri yaani ni kama Bado wanapendana.
Namalizia kwa kusema Kila mtu ana X wake ambaye hawezi msahau na Uzi niliweka huku.
😂😂😂😂😂Ila mwamba huenda akawa hayupo sawa kwa mjomba